Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

Hilo ni take la Kisheria Mkuu ,ukiruhusu uholela tu Dunia hii imejaa wahuni.Lazima kuwe na udhibiti kinyume Cha hapo ni shida kubwa !
Mfano waMwanza ni sahihi,ila watu wa aina hiyo ni wachache nani vigumu kuwajua mioyo Yao sembuse kuwapata!
 
Sasa mkuu huoni utakuwa umemsaidia kuendelea kufanya uharamia wake endapo utamficha? Ukiona su sawa kumfuchua humu, basi uangalie namna nyingine ya kuwasaidia hao watoto wasiendelee kutibiwa.

Lakini pia, ingawa ni kweli baadhi ya vituo vinatumika kwa maslahi binafsi vya wamiliki wake, bado vimekuwa na nchango mkubwa katika Jamii, hasa kwa kuwapatia hifadhi watoto waliokataliwa na Jamii.

Nadiriki kusema waliokataliwa kwa sababu kama siyo kukataliwa, wasingekuwa wanakula kwa taabu kupitia kuombaomba au kula majalalani na kulala mabarazani na mitaroni mijini.
 
Hilo sifahamu kama ni vyote, lakini vyote havifai kuwepo.
Madam kuna watoto Wachanga wanaokotwa,waende.wapi...kuna mume.anafiwa na mke wakati wakujifungua ..mtoto anakosa wakumlea ,Hawa nao wanapelekwa.kwenye hivi Vituo !
Aidha jina sahihi Kwa Vituo hivi ...Vituo vya Watoto Yatima.na Wanaishi katika Mazingira Hatarishi.
 


Nenda Tandale, au uswahilini utakuta watoto waitaji kwa mamia,

www.google.com

Kwenye nafasi: andika hivi:

Orphanage in Dar es salaam

Bonyeza kitufe, utapata lift, chagua unayoona inafaa, wapigie simu.
 
Mtoa thread ameomba kituo chha watoto yatima wenye uhitaji hajakwambia anaomba ushauri wa nani ampe msaada.

Tuwe waelewa some times

Wewe ndo unakosa uelewa, mwandishi ana maana, kama ana shida ya kituo anaweza kukipata bila kuja huku.
 
Ufanyike uchunguzi kwenye vituo vyote ,,

Hicho kituo kipo mkoa wa Daresalaam,,wilayani CODE

Wahusika wafanye uchunguzi..
Dk Gwajima ametoa number yake humu ,Moe taaifa tafadhali .Tuache kulalamika ,chukia Hatua!
 
Kwann afuatwe mmoja wakati wengi ndy wanafanya hayo?

Nimeshasema mkoa wa Daresalaam,,wilaya code,,

Mengine wahusika wafanye uchunguzi..

Pia nashauri hao matajiri wanaotoa misaada Ni Bora kumchukuwe mtoto mwenyewe pale kituoni na umpeleke mwenyewe shule unayotaka asome,,
Na usikubali uletewe majina ya watoto ofisini.

Mnapigwa pakubwa sn
 
Kinachotakiwa jamii iwachukuwe, wasifugwe kama mbuzi kwenye vituo.
 
Dk Gwajima ametoa number yake humu ,Moe taaifa tafadhali .Tuache kulalamika ,chukia Hatua!
Hata akienda pale hawezi kugunduwa kama wanaosomeshwa english medium sio yatima Bali ni ndugu wa mwenye kituo.
 
Kwani kusaidia yatima lazima aende kwenye kituo?

Mtaa wowote aulize kama kuna nyumba ina watoto yatima ataoneshwa.

Huyu mpigaji tu, eti anataka mpaka location.
 
Kwani kusaidia yatima lazima aende kwenye kituo?

Mtaa wowote aulize kama kuna nyumba ina watoto yatima ataoneshwa.

Huyu mpigaji tu, eti anataka mpaka location.
Kwa hio mleta mada mpigaji?
 
Mkuu sijafahamu hasa shida ni nini katika huu uzi. Nimeleta uxi kuwakilisha kampuni, naomba utushauri namna njema ya kufanya charity kwa namna ambayo utaona kuwa hatujioneshi wala kujivuna mbele za watu.

Asante in advance kwa ushauri wako
Hivi mpaka utu Uzima vituo vya wahitaji wa zee au watoto yatima hunaweza mtu usijue kweli au hata watu wanaokuzunguka hawajui, labda Kama dar mgeni Kama Mimi, mbona kwa sisi waroma tunaendaga Sana kwa wahitaji na kawaida tu, kila kitu Uzi tukisema kujionyesha tutakuwa tumekosea.
 
Hii inasababishwa na uzinzi

Watu washatumbukizana mimba za zinaa kulea wanaona shida hatimae ndo inatokea hivi

Inaumiza kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…