Nifanye nini niongezeke uzito?

Kunywa maji mengi huongeza hamu ya kula..

Usifanye kazi ngumu...

Kula vyakula vya protein na fat mfano: Samaki, nyama, etc..

Epuka msongo wa mawazo kwa kufanya vitu kukufurahisha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…