Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa uchumba usikute kanunua sana tu mduduUngeoa msabato mwenzio. Kitimoto tamu. Mkuu onjapo finyango moja
Umewahi kula?Kwangu mimi nyama tamu kuliko zote ni mbuzi na kondoo sio uyo sijauwona utamu wake.
Mkuu nguruwe ana madhara sio kama nasema hivi labda kwasababu ya mambo ya imani hapana,imethibitishwa kutoka kwa madaktari mbona mnakuwa wakaidi.Hata unavyotembea tu Kuna madhara makubwa sana,msimsingizie Nguruwe
mkuu usifananishe kondoo na uyo mnyama wenu,nguruwe haingii kitu kwa kondoo.Umewahi kula?
Mbuzi hana madhara?Mkuu nguruwe ana madhara sio kama nasema hivi labda kwasababu ya mambo ya imani hapana,imethibitishwa kutoka kwa madaktari mbona mnakuwa wakaidi.
Nimekuuliza umewahi kula? Jibu ndiyo au hapanamkuu usifananishe kondoo na uyo mnyama wenu,nguruwe haingii kitu kwa kondoo.
Sio vitisho huo ndio ukweli halisi, Muslim & Sabbath people are very clever huyo mdudu na popo wana undugu wa karibu angalia hata Sura zao utaelewa🤣🤣🤣 Acheni kutisha watu,kama imani yako haikuruhusu kausha tu
Ana madhara kwa binadamu hafai kuliwaNimekuuliza umewahi kula? Jibu ndiyo au hapana
Mbuzi hana madhara Kwa binadamu?Sio vitisho huo ndio ukweli halisi, Muslim & Sabbath people are very clever huyo mdudu na popo wana undugu wa karibu angalia hata Sura zao utaelewa
Watu wanachukulia poa Ila tulioona yaliyowakuta wanaomtumia kwa sana ndio tunaujua ukweli halisi ulivyoAna madhara kwa binadamu hafai kuliwa
NdiyoMbuzi hana madhara Kwa binadamu?
Jibu swali umewahi kula mbona unakwepa wakati umesema mbuzi na kondoo nyama ni tamu kuliko Kitimoto,nataka useme hiyo comparison umeifanya cos ulikula staki ni bishane na mtu ambaye anatumia nadharia tuAna madhara kwa binadamu hafai kuliwa
Hana madhara ukimlinganisha na PiG (popo)Mbuzi hana madhara Kwa binadamu?
ndiyoJibu swali umewahi kula mbona unakwepa wakati umesema mbuzi na kondoo nyama ni tamu kuliko Kitimoto,nataka useme hiyo comparison umeifanya cos ulikula staki ni bishane na mtu ambaye anatumia nadharia tu
Mlete kwangu nimuombee 24 hrs ataponaMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Basi naongea na mtu asiyeelewa kitu ,unaujua ugonjwa unaitwa Gout (gauti)Ndiyo
Baada ya kula ulipata athari gani?ndiyo
Mwambie aendelee kula alichokifuata mengine amwachie mwenye mwili wakeKuna mtu nae fb kaomba ushauri mke yake inakula gududu balaa😃 ila jamaa ni Muslim, bibie ni mkristo au au au au basi tu😁