Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Kwangu mimi nyama tamu kuliko zote ni mbuzi na kondoo sio uyo sijauwona utamu wake.
 
Hata unavyotembea tu Kuna madhara makubwa sana,msimsingizie Nguruwe
Mkuu nguruwe ana madhara sio kama nasema hivi labda kwasababu ya mambo ya imani hapana,imethibitishwa kutoka kwa madaktari mbona mnakuwa wakaidi.
 
🤣🤣🤣 Acheni kutisha watu,kama imani yako haikuruhusu kausha tu
Sio vitisho huo ndio ukweli halisi, Muslim & Sabbath people are very clever huyo mdudu na popo wana undugu wa karibu angalia hata Sura zao utaelewa
 
Ana madhara kwa binadamu hafai kuliwa
Jibu swali umewahi kula mbona unakwepa wakati umesema mbuzi na kondoo nyama ni tamu kuliko Kitimoto,nataka useme hiyo comparison umeifanya cos ulikula staki ni bishane na mtu ambaye anatumia nadharia tu
 
ndiyo
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mlete kwangu nimuombee 24 hrs atapona
 
Back
Top Bottom