Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Kuna siku uliandika unajipa adhabu yakuto sex siku elf moja [emoji3][emoji3]

Juzi ukakutana na dada mrembo sana [emoji3][emoji3] ukasema utamtafuta

Leo hii wewe ni mpweke moyo wavuja dam[emoji3]

Upweke wako upo kwenye nin Sasa pesa?? Au stress za job?
 
Kwenda kuona mambo yanayotokea usiku duniani ?🤣🤣🤣👍👍😅
 
Pesa ninayo, kazi nafanya fresh tu, sema nadhani ni kwenye usingle ndo unaonitesa kiaina flani sio kitu kingine
 
Usioe wala usiishi na mwanamke kama mkeo , Saka tuu mahusiano na mdada mwenye age ya 32/40 awe awe na uwezo wake wakujihudumia na muhusiane kwa kukutana ata 3/5 per months
 
Tafuta ndugu au rafiki ambaye hujawasiliana naye muda mrefu umjulie hali, pia kama uliwahi kuwa na mpenzi mkaachana kwa ugomvi jifanye mjinga mtafute muombe msamaha. Kwa kifupi ni kwamba ufanye moyo wako uwe huru kwa kuondoa majeraha yote uliyosababishia wengine au uliosababishiwa na wengine na ikiwezekana kama kuna mtu unamdai samehe nawewe kama unadaiwa lipa. Kwa hakika hio ndio dawa ya kupunguza msongo wa mawazo ambao huchangia mapigo ya moyo kwenda kasi.
Kwa kuongezea nakushauri uanze kuwaza kuoa na kama ni mtu wa imani mche Mungu.
 
Hakuna biashara inayokosa changamoto mkuu, hii ndiyo changamoto yetu sisi team kataa ndoa.
 
Asante sana mkuu
 
Jamani kipenzi changu...mbona hunambiii kumbe unavuja damu moyo wako na kwaresma hii..ndo kipindi tunaonyesha mapendo daima...pole sana..
Ila tatizo ni kazi au kuna la ziada? Kazi hyo kazi ganu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…