GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kawaase watoto wako..!
 
Kwa muda mrefu sasa nafikiria kuondoka hii shithole nirudi civilized world.
Ondoka kaka. Unachelewa, Sisi tutabaki. Ikiwezekana uukane kabisa uraia wa Tanzania uchukue wa huko unakotaka kwenda. No one cares about your opinions.
 
Hakuna kesi hapo ni kupotezeana muda tu.
 
Siku ile alisema tuache kutunishiana misuli na kupimama mie nikaona huo utakuwa mwanzo mwema kumbe bado wanaendelea kuwatafuta watanzania.

Kimsingi tunajua nchi nzima iliandamana na kwa mjibu wa Ask. Bagonza aliweka wazi kwamba hiyo siku watanzania wote wataandamana. Kuna wataoandamana kwenda kutik, kuna watakaoandamana kutokutik, kuna ambao hawatatoka ila mioyoni wataandamana so ni kila mtu aliandamana na ukiona wananchi wanagoma kupiga kula simply hao wamefanya passive resistance, ni sawa sawa na wale waliondamana barabarani. Hivyo ukiwakamata walioingia barabarani na ukawaacha waliogoma kwenda kupiga kura kimsingi umepoteza focus na maana nasema takribani nchi nzima iliandamana na ni watanzania wote waliandamana
 
Hao wote wataachiwa kama kutakuwa na kitu kinaitwa maridhiano,lakini waskishupaza shingo ndiyo mgawanyiko tuliokuwa tunauona kwenye nchi za wengine utakuwa umeingia rasmi nchini na tutaanza kushuhudia rebels group nchini
 

07 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania

97 Tanzanians charged with Treason case , following the October 29, 2025 protests​


The Republic has filed a case of Treason against 97 Tanzanians following the October 29, 2025 Protests.

View: https://m.youtube.com/watch?v=p3lr6P8UXdQThese cases are scheduled to be heard for preliminary proceedings before a magistrate at the Kisutu Resident Magistrate's Court, Dar es Salaam, Tanzania

====

From the Kisutu Resident Magistrate's Court, Dar es Salaam today, Friday November 07.2025, Businesswoman Jenifer Jovin (Niffer) and her colleagues have been charged with three (3) counts of treason.

The first count concerns all the accused, which is that they have jointly conspired to commit an offense or plan a crime that is treason.

The second count, which is treason, concerns 21 accused except for one accused, Niffer, where the accused initiated the intention to prevent the 2025 General Election, and threatened the authorities and carried out that intention by committing violence that caused the destruction of public property.

And the third count of treason also concerns the only accused, Niffer, where she encouraged people to disrupt the 2025 General Election and encouraged the public to buy tear gas masks from her shop situated in Sinza Dar es Salaam Tanzania .






Also read GE2025 - Republic adds 47 more to Treason case after October 29 protests, number reaches 145 people
 

NIFFER's treason case is serious, punishment could be death by hanging ​


View: https://m.youtube.com/watch?v=YJ-CV-C-_JUFrom the Kisutu Resident Magistrate's Court, Dar es Salaam Tanzania today, Friday November 07.2025, Businesswoman Jenifer Jovin (Niffer) and her colleagues have been charged with three (3) counts of treason.
 
Anatia huruma kwa kweli, na biashara yake nzuri alijisetia inaenda na maji....
 
Sio rahisi hivyo ukiangalia wateja wake wengi wako Tanzania

Na unajua atachukua mda gani kukaa mahabusu anaweza akaa mahabusu mpaka kutoka biashara zake zimefilisika zote na itambidi aanze upya
Nilisema sio tu kuhusu kesi inaonekana wamempania na kummaliza kibiashara, yaani hata akitoka kuanza tena biashara itakuwa ngumu sana, watamminya kwenye leseni na mambo ya kodi atazushiwa ujinga mwingi.
Akirudi uraiani dynamic ya biashara ya aina anayofanya atakuta imebadilika sana, hivyo kuanza upya itakuwa kazi sana
Yaani hitimisho ni kumwonea huruma, masikini kadada kazuri kamejiharibia kila kitu....
 
07 November 2025

BBC MAMIA WAFIKISHWA Mahakamani leo kwa uhaini, adhabu yake ni kifo kama watapatikana na hatia


View: https://m.youtube.com/watch?v=87oQAC0vU8gWatu 240 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Kisutu, jijini Dar es Salaam Tanzania kwa tuhuma za uhaini, zinazohusishwa na maandamano ya siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025.
 
Yani huyu Samia badala ya kujenga ndio anazidi kubomoa siku hadi siku. Kila anavyoambiwa kuwa nchi sasa inahitaji kuponywa, ameshupaza lishingo lake! Haya bwana
 
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.

07 November 2025

OUTRAGE AS TANZANIAN INFLUENCER CHARGED WITH TREASON… FOR A TIKTOK DANCE ?!

View: https://m.youtube.com/watch?v=87x79ZuGL8M
When a 26-year-old Tanzanian entrepreneur danced on TikTok, she never imagined it would land her in shackles — accused of treason and conspiracy to overthrow the government.

Jeniffer “Niffer” Jovin’s arrest for a 20-second video mocking President Samia Suluhu has become the symbol of a country spiraling into authoritarian darkness.

This 10-minute documentary dives deep into Niffer’s shocking trial, the political storm behind it, and how a dance — yes, a dance — has shaken the foundations of free speech in East Africa.

From Dar es Salaam to Nairobi, the question now echoes: If dancing is treason, what’s left of freedom?---

🕒 TIMESTAMPS:

00:00 – The Arrest That Shook Tanzania

00:30 – How a TikTok Dance Became “Treason”

02:20 – Inside the Courtroom: Fear, Tears, and Defiance

04:10 – From Reformist to Repressor: The Fall of Samia Suluhu’s Image

06:00 – Tanzania’s Election Chaos and the Digital Purge

07:30 – The Human Cost: Families Broken, Businesses Silenced

09:00 – #FreeNiffer: Kenya and the World Respond

09:45 – The Question That Haunts Tanzania’s Future
 

07 November 2025
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania

View: https://m.youtube.com/shorts/EdNEFqJrP-M
 
Kwao si Kagera ana option ya kwenda Uganda hapo Kampala kuanza Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…