Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

hizo hawez kuziona maana nizakusifia apendako yeye
 
CCM imebeba laana ya kufuru.

Mungu tenda miujiza wajuwe huna wakufanana naye.
 
Nakumbuka kunasehemu katika bible kuna MTU alimuita yesu kwa jina la mwalimu mwema ,yesu alimkatalia aka muuliza kwa nini unaniita mwema ? Hakuna aliyemwema ila ni Mungu peke yake,pia kuna sehemu kuna mama alimuuliza yesu kuwa ni furaha gani aliyonayo mwanamke aliyekuzaa na kukulea,yesu akajibu ama nifuraha gani walionayo wanamsikiliza mungu na kumtii,kifupi ni kwamba naona mwisho uliotabiliwa kwenye bible unakaribia,jamani tuendelee kusali na kuomba,mifarakano iyotabiliwa tunaiona,watu kuweka tamaaa mbele ya kujipenda kuliko kumpenda mungu,unapoona siasa inanza kuchallenge dini basi pigeni magoti msali mwisho ukaribu
 
Mungu alikuwa anaongea na wana wa israel kupitia Musa wao walikuwa hawamjui Mungu ndo maana walimlilia na kumlalamikia maana ndo aliwatoa utumwani

Wewe unamjua mungu? Bagonza anamjua mungu? Hata mimi simjui.

Tunamjua mungu kupitia matendo yake, kupitia watu, kupitia imani!

Imani ya lugola siyo ya bagonza na genge lake.
Kila mtu anaimani yake kwa mungu!
Bagonza sialifunga kanisa?
Alipofungua alitumia imani ya nani? Imani yke siilimtuma kufunga kanisa?

Mungu anatumia watu.
Hata musa alitumiwa na mungu kuwatoa islael misri.

Kwani mungu hawezi kumtumia magufuri kuiponya nchi?
Mungu hawezi kumtumia magufuri nchi kupata maendereo?

Tulizeni mshono mh rais km anasifiwa wanaosifu ndio wanaojua.
Zaidi yahapo nichuki.
 

Mkuu.
Haya hayana budi kutokea! Watu wanawazuia watu kupaza saiti za kusifu kwa sababu ya chuki.

Wanasahau hata yesu aliwaambia....
Mkiwazuia hawa!! Hata mawe yatapiga kelele.

Nawatu cjui kwa nini hawajifunzi.
Magufuri ndani ya miaka mitano, kapigwa vita sana, vita vya ndani na vita vya nje! Lakini hajashindwa vita,

Vita vyote jamaa anashinda! Hii yte nikwasababu jamaa anamtegemea mungu.
Watashindana nawe lakini hawatashinda kwa maana mimi Bwana niko pamoja nawe kukuokoa.
 
We humjui Lugola wewe jamaa Amesema mpaka Atukuzwe Magufuli
 
CCM imebeba laana ya kufuru.

Mungu tenda miujiza wajuwe huna wakufanana naye.
Ona huyu nae! Mungu anasema natufanye mtu kwa mfano wetu!

Tumeumbwa kwa mfano wa mungu
Soma kitabu cha Mwanzo 1-6

Hata wewe unafanana na mungu.
 
We humjui Lugola wewe jamaa Amesema mpaka Atukuzwe Magufuli

Sasa Atukuzwe mungu kunashida gani! Siatukuzwe Mungu kutuletea Rais magufuri?

Hiyo maana yke sifa na utukufu zimrudie mungu kutupatia rais magufuri.
Hamna ubaya.
 
Yesu alisema kaeni ndani yangu, kwahiyo na wewe unakaa ndani ya Magufuli! mungu wako akubariki.
Ninakushauri umwamini Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na duniani na usikae ndani ya miungu mingine.
 
acha ujinga watanzania au wakristo wamekuwa wapole kwa dhihaka kama hizi je wangeamua kufanya fujo ungemtetea tena kangi kwa maneno yake hayo au huwez mfananisha Mungu au Yesu na vitu vya hovyo

Na ndio ilikuwa nia ya Askofu Bagonza na genge lake, alitaka wakristo wa muunge mkono.

Ndio maana akaleta mifano mingi isiyohusika.

Huo ni ujinga wa kiwango cha faru john! Ambao wakristo hatuna.
 
Askofu Bagonza hajawahi kuwa askofu wa jimbo la Rulenge. Unachokiandika nadhani hukijui
 
Mbona unatia huruma wewe ?!. Kwenye Covid 19 tumefanyaJe ?!.

Ushauri kwako wa bure. Nenda kwenye hospital zetu kubwa za mikoa uulize yanayoendelea kwenye wodi zinazoitwa za KARANTINI. Hutarudi kusema uliyoyasema .
 
Sasa Atukuzwe mungu kunashida gani! Siatukuzwe Mungu kutuletea Rais magufuri?

Hiyo maana yke sifa na utukufu zimrudie mungu kutupatia rais magufuri.
Hamna ubaya.
Sasa Atukuzwe mungu kunashida gani! Siatukuzwe Mungu kutuletea Rais magufuri?

Hiyo maana yke sifa na utukufu zimrudie mungu kutupatia rais magufuri.
Hamna ubaya.
Heri na heshima na enzi yote Ni kwake Magufuli. Utukufu kwa wateule wake wote aliowaridhia
 
Wewe utakuwa nabii wa wajinga kama alivyo Gwajima askofu wa wajinga. Pia wewe ni nabii wa tumbo lako, endelea kutabiria tumbo lako.
 
Wachungaji wengine Wana ushetani ndani yao
 
Ona huyu nae! Mungu anasema natufanye mtu kwa mfano wetu!

Tumeumbwa kwa mfano wa mungu
Soma kitabu cha Mwanzo 1-6

Hata wewe unafanana na mungu.

Mimi nimeandika CCM wanakufu

Mungu afanye muujiza ili watambuwe hakuna wakufanana naye.

Sasa kama kukufuru nikufanana hiyo nitafsiri yako.
 
Hivi hapa umeandika nini...maana hata hyo chuki hujaonyesha ikwapi...kwahyo wewe unakubaliana na alichoongea Lugola kwamba magufuli ni kama yesu unaposema ni kama sio kufananisha huko...dini zote zinapinga kunfananisha Mungu na chochote...anyway nikuulize kitu hivi kupinga AMA kutofautiana mawazo mi dhambi....AMA unaamini katika freedom of speech kama si hivo jipime uelewa wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…