Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

Mnapoandika jina "Mungu", ikiwa mnamaanisha huyu Mungu wa kweli, ambaye ni Mungu wa miungu yaani Yehova, ni sharti muanze kuandika kwa herufi kubwa (au ziwe herufi kubwa zote)

chondechonde.

Haya tuendelee
 
Mtu anayekukosoa hakuchukii. Anataka kukusaidia ili ujirekebishe . Ila ukweli ni kwamba binadamu wengi huwa hatupendi kukosolewa na hasa tunapokuwa tumefikia ngazi ya juu kidogo ya mafanikio. Tunapenda watu watusifie tu. Kitu ambacho si kizuri katika maisha.

Kumbuka aliye mkamilifu ni MUNGU pekee. Hivyo kama binadamu tuwe wanyenyekevu tunapokosolewa na tuwe tayari kurekebisha mapungufu tuliyonayo.
 
Wewe ndiye wakala wa shetani muuaji mkubwa nyie ndiyo wasiojulikana halafu mkisha ua mnachukua biblia na kujificha, pumba..fu kabisa wewe BABA ASKOFU BAGONZA mtu wa hasira?
Tatizo mnataka woote tumsifie magufuli huu ni upumbav ndo maana mnashindwa kumshauri rais afanye yaliyomema kazi yenu kusifia tu hata akikosea matokeo yake ana haribu kabisa.
 
Binafsi sikubaliani na Bagonza kama ambavyo sikubaliani na Kangi.

Wote wako gizani tu.
 
Unachanganya maneno kwa makusudi au? Magufuli unaandika Magufuri! Maendeleo, maendereo. Israel unasema islaeri, vipi bwana.
 
Acheni kumfananisha Mussa nabii mkubwa sana wa Mungu..na hawa wanasiasa wenu.
Hatukatai kusifia..tatizo mnasifia mpaka inapitiliza....tufanyeni vitu kwa kiasi jamani sababu hakuna mwanadamu mkamilifu..hata Magufuli sio mkamilifu....inashangaza mnavyomsifia na kumtaja kila wakati utafikiri ameshikilia mirija ya pumzi zetu..

Utii ukizidi inaleta kujipendekza, usaliti..kifo...
 
Nyie watu bana....Magufuli.kapigwa vita na nani hasa??Mnamjengea hofu mzee wa watu kuwa anapigwa vita wakati watu wengine wanaendelea na mambo yao..

Tatizo lenu mtu akiambiwa upande wa negatives au wakihoji..basi mnasema kapigwa vita....Mambo anayoyapitia lazima ayapitie sababu ni mkuu wa nchi..ndo yuko mstari wa mbele na hiyo ni kawaida tu...hivi huyu Magufuli angekua rais wa Mataifa makubwa ambao wanafanya maamuzi yanayoaffect ulimwengu mzima na anakosolewa duniani kote NYIE WATU mngesemaje??Angalia watu kama TRUMP, PUTIN etc.....wanasemwa kila uchwao na ulimwengu wote..nyie Magufuli hata hapa ndani watu wanaogopa kumsema....watu wanaogopa kubatizwa kwa ubatizo wa Moto....wa Yesu..maana walizoea ubatizo wa Yohane (Kikwete) wa maji....
 
Mungu aendelee kumpa Ujasiri wa kunena Neno lake.


Huyu niwale wanaochukua kipande cha fungu , harafu anaongeza zauti ya juu nakutafsiri anavyojua.

Watu wanabaki kupiga makofi ndio maana hata waliompigia makofi niwachache.

Hilo fungu huko mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.
 
Hivi thiologia ulisomea wapi?au ndo wale kasoma udaktari alafu kazi mhasibu?Kila mtu ana sehemu amebobea kuliko mwingine tuache unafiki!!!!![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nikweli.

Hivi thiologia ulisomea wapi?au ndo wale kasoma udaktari alafu kazi mhasibu?Kila mtu ana sehemu amebobea kuliko mwingine tuache unafiki!!!!![emoji41][emoji41][emoji41]


Nikweli! Hata kipindi cha corona madaktari walipinga sana dawa mbadara.

Lkn kuna madaktali waliwahi fanya upasuaji kinyume. Wa mguu alipasuliwa kichwa badala ya mguu.
Nawakichwa alipasuliwa mguu badara ya kichwa.

Ndo hawa akina Bagonza kufunga kanisa huku akisisitiza watu wantegemee mungu ktk kipindi kigumu.
 
Siku Covid 19 ikifanya ya huko Bujumbura mje pia kutuambia dunia ilivyojifunza kwa rais wenu
 
Mkuu kasome upya bibilia
 
Anae sema usihukumu nae anahukumu.. Usiyatumie maneno ya Mungu juu juu hivyo..
 
Naona baada ya kumalizana Na Askofu Munga mmehamia kwa Bagonza
 
Nimeuliza swali lakini sijajibiwa.
Kwanini wakristo baadhi wanamuita papa baba mtakatifu? Wakati biblia inakataa? Lugola kumfananisha magufuli na YESU kosa liko wapi mpaka bangoza kaleta mifano ya ajabu ?

Yeye askofu bagonza yupo sawa kuitwa Baba paroko? Au yy yupo sawa kumuita papa mtakatifu? Wakati biblia yake na udoctor alionao anajua kuwa biblia inakataa msimwite mtu baba baba yenu ni mmoja tu nayupo mbinguni?

Wala msimwite mtu mtakatifu watakatifu wapo mbinguni?
Jibu.
 
Watu wengi hawasomi bibilia ma lama husomi biblia utapotoshwa tu lugola yuko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…