Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,010
Tutolee utopolo wako hapa ... .. wewe unasifia, yeye kaona kukosoa aliyoyaona shida iko wapi..!?
Mungu alikuwa anaongea na wana wa israel kupitia Musa wao walikuwa hawamjui Mungu ndo maana walimlilia na kumlalamikia maana ndo aliwatoa utumwani
Asipo sema yeye Gwajima atasema!Mbona hajawahi kukosoa cjadema na viongozi wake kwa maana hiyo kila litendqalo na chadema kupitia viongozi ni sahihi?
Je hajui kuwa ukristo unazuia uzinzi?
Je hajui mbowe amezaa na mwanamke ambae sio wa ndoa?
Kwa nini mpaka sasa hajatoa neno kwa kiongozi huyo kumpabushauri amrudie mungu kama aliteleza na kuzaa na mchepuko?
Tunayasema haya kwa sababu huyu mzee hana balance ya kukosoa kwa hiyo tunamuona ni mpuzi tu na mwenye chuki.
Na mungu aliwaadhibu akina sauli kwa chuki zao kwa hiyo asione kama yeye hayamuhusu.
Ha ha ha hs!Wana wa islaeli walimjua mungu kabala ya musa acha upotoshwaji, musa na akina nuhu nani alitangulia?
Wlimjua mungu bali walikuwa na mapungufu ya imani tu kama mlivyo ninyi
Na askofu mmoja anayekimbia korona na kujificha nyuma ya kichaka.
Hapao ndo utajua ahawa maaskofu ni waoga kufa huku wakiwa madhabahuni wanasema unapaswa kufa kwa kumtumainia mungu hata kama utateswa vipi na majanga.
Nakumbuka kuna mtu mmoja alipata shida sana huku shetani akimwambia amkane mungu ili apone lakini yeye aligoma mpaka mwisho, ila kwa hawa ni dakika tu utakuta wana hilizi.
Huu uzi uliwekwa baada ya kusoma ujumbe wa anayeitwa Dr Rev. Bagonza.
Waraka uliodaiwa ni wa askofu Bagonza nautakuwa wakwake maana hajaukana! Ulianza kwa kumponda sana mh. K.lugola
Lakini kwa undani lengo halikuwa Lugola, ila alitumia km uchochoro kuonyesha chuki au wivu au uchoyo wa fadhira, baada ya lugola kumsifia na kumfananisha JPM rais wetu na YESU.
Lakini hakuishia hapo askofu bagonza alileta mifano ovu kabisa , akimaanisha kauli yalugola inaweza leta machafuko nchini hili lilikuwa zaidi ya uchochezi kwa mtu km yy mwenye ushawishi ktk jamii.
Baada yakuusoma na kutafakari niligundua huyu mzee ana chuki na mh. Rais tena kali sana.
Ndio nikaja na ushauri, pamoja na onyo kwake, hasa baada yakuzingatia kuwa anapenda kutoa matamko, waraka, na maamuzi yakuonekana kupinga kabisa utawala wa awam ya5
Nikajaribu kuhoji toka kwake au kwa wanao mtetea maswali haya japo sijapata majibu mpaka mda huu.
Nilisema kabla ya kuhoji kuwa?
Dini ni imani, hakuna alomuona Mungu hata yy Bagonza km siyo kila mwenye imani anamuona Mungu kwa... Imani, matendo, na miujiza.
Nikasema kila mtu anaimani yake, ndio maana hata yy Bagonza wakati wa covid-19? Alifunga kanisa!!
Kipindi cha nyuma.. Mungu aliwahi kuitwa Mungu wa Yakobo,Ibrahim , Daniel meshack na Abednego na Mungu wa Eliya.
Kwani leo mtu akisema Mungu wa magufuri magufuri atatukanwa km alivyofanya Bagonza?
Kwani leo Mungu hawezi kuonekana kupitia matendo ya binadam wenzetu nawatu wakasema tumeuona mkono wa Bwana? Au tatizo ni magufuri?
Baba askofu km anavyoitwa nayeye hajakataa kuitwa hivyo nilihitaji ufafanuzi wa hayo kutoka kwake au kundi linalomtetea pamoja nakujibiwa maswali haya.
Je.. kama ameona kosa magufuri kufananishwa na yesu, Je! Yeye nihalali kuitwa BABA Askofu?
Wakati biblia inakataza kumuita mtu baba kiimani ikasema baba yenu ni mmoja yupo mbinguni?
Je.. yeye nihalali kumuita PAPA kuwa ni Mtakatifu, naanafundisha watu papa ni Baba mtakatifu wakati biblia yke inasema hakuna mtakatifu duniani watakatifu wapo mbinguni? Waliopo duniani anayewajua ni mungu?
Je hajui km kila mamraka hutoka kwa mungu?
Hajui km hakuna Rais anaetembea akifuatwa nawatu wenye shida na anawasaidia km cyo magufuri? Ni rais nani ktk awam zte nchi hii alikuwa hivyo?
Nimalize kwa kusema kila mtu anaimani yake, na mungu anaweza kuponya taifa kupitia hata mtu mmoja, kwahiyo lugola hakuwa nakosa , sababu ameamini hivyo baada ya yy kuona.
Hata yy Bagonza alifungua kanisa kupitia imani na maombi ambayo Rais magufuri alitusihi tuombe! Yawezekana yy hakuomba au aliombea taifa mabaya .
Ila mshindi alionekana ni JPM
Jana Rigi kuu ya vodacom imeanza, tunafaidi matunda ya imani ya watanzania pamoja na kiongozi wtu mkuu rais jp magufuri.
Nasihi tusichangie kwa chuki , wivu, husuda nk. Bagonza na kundi lake niwakusaidiwa.
Utoko mtupu umeandika yani kujipendekeza mmezidi jamani yani too much aiseeAskofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.
Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli
Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.
Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.
Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.
Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Hana chuki yoyote chuki ipo kwenye andiko lako dhidi ya Baba askofu kila mtu ana uhuru wa kusema na hicho kifo kibaya utamuua wewe? mbona mnakua na shobo hivyo?Shida yake ni CHUKI maana hata yeye siyo mungu, yy lugola imani yake na macho yke ndo yameperekea kutamka hivyo.
Hata km yeye aliona kosa kwa lugola, basi akiwa km mtumishi wa mungu, alipaswa aonye kwa kukirimu, kwa kufundisha, kwa upendo, nk
Nabando alitakiwa ajue juzi kati kwenye covid-19 imani yake na imani ya magufuri nihakika imani ya magufuri ilithibitishwa kuwa ni imani yakweli.
Jana ligi imepigwa hakuna barakoa nahajafa mtu! Hata yeye hajafa ila chuki itamuondoa askofu huyu asipobadirika.
Hana chuki yoyote chuki ipo kwenye andiko lako dhidi ya Baba askofu kila mtu ana uhuru wa kusema na hicho kifo kibaya utamuua wewe? mbona mnakua na shobo hivyo?
Wewe ni mwanasiasa?Soma andiko lake kabla hujachangia! Halafu soma vizuri ushauri na maonyo aliyopewa!
Unadhani nathani wakati akimpa maonyo mfalme Daudi ulidhani kuwa yy ndo angemuua!
Bagonza kamponda lugola baada ya kumfananisha magufuri na YESU, akaenda mbali akatabiri kufananishwa magufuri na yesu nchi yaweza kuingia kwenye machafuko kama Rais hatoi tamko km yalivyoweza kutokea machafuko baada ya mtu kukojolea msahafu na mambo mengi aliyoyaeleza hapo ambayo kwa weredi wangu siwezi kuyarudia!
Kwahiyo ukiangalia vzr alitumia uchochoro wa lugora kuchochea chuki na vurugu .
Kwanini chuki! Ingia utube ufatilie mijadara yake utagundua .
Lakini wale mnao muunga mkono! Nipeni majibu yamaswali ambayo hayajapata majibu.
Hapana.Wewe ni mwanasiasa?
Bado u ajichanganya Sana.Wanaisrael kumlilia Musa badala ya Mungu haijustify ujinga wa Kangi,Unajua kwa Nini Mungu yeye mwenyewe ndo alimzika Musa na so Wanaisrael?Mwambie huyo mchungaji atuambie, nikwanini wana wa israel walimlilia mussa badara ya mungu?
Nikwanini leo hata yy huyo mchungaji anaomba kwa kutaja MUNGU WA ibrahim MUNGU WA isack , MUNGU wa yakobo nk.
Isaya 8:20 nawaenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili ! Kwa hao hapana asubuhi.
Huyu mchungaji anachukua fungu anatoa kipande cha fungu anajenga hoja yake! Hilo fungu kule mwisho linasema mimi bwana siyo sanam.
Sanam nikitu ambacho hakina uhai,
Kweli wachungaji waleo ni mbwembwe.
Kwani Pengo na Gwajima wanasemaje kuhusu hili?Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.
Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli
Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.
Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.
Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.
Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Wewe unaonekana unauelewa mdogo wa maandiko matakatifu.Bado u ajichanganya Sana.Wanaisrael kumlilia Musa badala ya Mungu haijustify ujinga wa Kangi,Unajua kwa Nini Mungu yeye mwenyewe ndo alimzika Musa na so Wanaisrael?
Unatafutwa na roho ya Mpinga Kristi,be care siku hizi za kumalizia
Umenielewa vibaya.Kanisomr vizuri.Iko hivi Kangi ndio sawa na Wana wa Israel waliomlilia Musa badala ya Mungu ni upumbavu.Ni sawa na hao wanaoomba kwa kutumia Bikra Maria.Yesu ambaye ndiye Mungu hafananishwi na chochote chibi au juu ya jua.Yeye ni Alfa na Omega.Wewe unaonekana unauelewa mdogo wa maandiko matakatifu.
Ndani yakanisa lolote huwa kuna makundi matatu.
Ila wewe uko kwenye kundi la wanaolishwa chochote na kumeza.
Sasa swala la mussa kuzikwa na mungu limeingiaje hapa.
Jibu maswali haya.
Kama lugola anakosa kulingana na imani yake iliyoperekea kutamka hivyo je?
Askofu Bangoza anahaki ya kuitwa Baba paroko kwa mujibu wa biblia?
Je! Bagonza, kwanini alifunga kanisa kwa hofu ya corona?
Bagonza alifungua kanisa corona iliisha?
Siasa inakupa upofu cabana nayoAskofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu.
Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu.
Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako.
kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo.
Kwanza, punguza chuki juu ya Rais Magufuli na wote wanaoonesha furaha yao kwa Rais Magufuli
Chuki ni ugonjwa mbaya sana Askofu Bagonza. Katika umri huo uliofikia, ukiwa na chuki ya kiwango hicho, UTAKUJA UFE KIFO CHA MAUMIVU MAKALI SANA Askofu.
Kwanini nasema una chuki ,
Nakuwa nafuatilia hotuba zako, walaka,matamshi na kila tendo lako kuhusu Serikari hii ya Rais Magufuli na wote wanaomuunga mkono Rais umekuwa unatokwa povu jingi sana.
Mifano michache ni hii.
Covid-19 , ukiwa kama kiongozi wa kiroho, hukupaswa kufunga Kanisa na kutoa matamko uliyotoa, ila imani yako na ya rRais , zilipimwa na mh. Rais akatoka mshindi naVdunia yote ikajifunza kutoka Tanzania.
Jambo jingine ni hili la Lugola, mifano yote uliyoitoa ni ya kupotosha! Lugola hajamdhihaki Mungu. Ili umeongozwa na chuki kumshutumu Lugola wewe na wachangiaji walokuunga mkono.
Nataka nikukumbushe kuwa, hakuna mtu aliyemuona MUNGU hata wewe mwenyewe. Tunamuona Mungu kupitia matendo yake, kupitia binadamu wenzetu, Mungu aweza kukutumia hata wewe kusaidia watu nawatu wakasema hakika wewe ni Mungu.
Lugola anamfananisha Rais Magufuli na Yesu kupitia matendo anayoyafanya, hata YESU alisema, kaeni ndani yangu.
ACHA CHUKI ASKOFU! WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU! USIJE KUFA KIFO CHA MAUMIVU MAKARI NA KABLA YA WAKATI WAKO. YESU ALIWAAMBIA MKIWAZUIA HAWA KUSIFU HATA MAWE YATAPIGA KELELE.
Mimi nikama nabii Nathani mbele ya mfalme Daudi kwako.
Duu!Nadhani Kangi anatumia njia ndefu, ili kupata ufanano mzuri, Kangi amshauri JPM abebeshwe msalaba, asulubiwe, afe na siku ya tatu afufuke. Akiweza hili basi tuungane na Kangi katika hoja yake.