Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Chukua BIMA ata ukitaka kuiuza baada ya kuichoka ni fasta.


Mesidizi ni ndoa ya kikristo ukishainunua kifo ndo kitawatenganisha.
 
Kasha hongwa huyu njoo tu nakupa wiki mbili utaiuza tu tena kwangu,wewe unataka gari alafu unaulizia wese???
 
Nunua gari utakaloweza kuuza kwa urahisi baada ya kuishiwa na hela ya ulaya ..Wengi wenu huwa mnakujaga na mbwembwe hizo halafu baada ya miezi michache mnaanza kusumbua mliotukuta bongo

ushauri mzuri, atafute toyota rav4 zile za 2014 model hata ubalozini anauza hzo atajikuta analia machozi ya damu baada ya mbwembwe kuisha
 
Jaguar Na BMW ni same class


Kuwa same class inategemea na mengi hata kuna baadhi ya Hyundai wanasema ni same class na Mercedes, lkn BMW na Jaguar ni mbingu na nyota, ingawaje wanajaribu kuiga BMW lkn bado sana, BMW wameshaestablish kama Alternative ya Mercedes kwa muda mrefu sana, Jaguar bado wana safari ndefu!

Kwanza hata Volvo wanatoa gari kali kuliko Jaguar kwa sasa!
 
chukua BMW, mi nlichukua mwaka jana iko poa sana, asa sie watu wa hali ya chini
 
Mimi nakushauri kabla ya yote ingia kwenye calculator ya TRA ujuwe bei ya ushuru ndio uendelee na mengine.

Kuna gari zinapigwa mnada bandarini kwa bei ya kutupa kwa sababu muagizaji hakujipanga.
 
Chukua Mercedes Benz C Class kama unataka kumnunulia gari Housegirl wako asipate tabu kwenda sokoni.

C Class ni low class katika Mercedes Benz.
 
Mimi nakushauri kabla ya yote ingia kwenye calculator ya TRA ujuwe bei ya ushuru ndio uendelee na mengine.

Kuna gari zinapigwa mnada bandarini kwa bei ya kutupa kwa sababu muagizaji hakujipanga.

Who qualifies as a returning resident?

Is a person arriving on first arrival to Tanzania whom the proper officer is satisfied that is bonafide changing residence from a place outside Tanzania to a place in Tanzania, where the person has neither been granted an exemption or is not resided in Tanzania before his arrival other than on temporary non-resident visits


anaingia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…