proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
- Thread starter
-
- #101
Lazima uende na wakati ndgEverything has to be at his, just thank God for everything..maadamu ni mzima na una elimu ya kutosha lawama zinatoka wapi sasa? Inawezekana wakati wenzako wanamaliza wewe ndio utapata nafasi ya kuanza so sioni haja ya kuangalia maisha ya wengine kwa kigezo chochote kile kwa kuwa hakuna anayejua mpango wa Mungu juu yako mkuu!
Ngoja nitumeTuma email uombe kazi.
Kazi ni kaziKwa hiyo huyu mheshimiwa naye aibe cheti swahiba?
Mkuu usinunue cheti huyu bwana anakushauri vibaya. Wewe njoo huku namtumbo tulime biringanya bwana.
Kwa nnUmenichekesha sana kijana
Hiyo itakua ya nan maana zinatofautianaPengine una laana maana hata usome vyuo vyote duniani kama una laana sahau kufanikiwa
Hao walitafuta kwanza ndio wakaja kusoma chunguza uambiweAcha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.
Fuatilia matajiri wa tz uone walivopiga kitabu kuanzia kwa Mengi,bakhresa,dewji etc mpk fobes inawatambua.hao std wana hela za kula tu na familia zao unadai matajiri.unaelewa maana ya utajiri ww?
Kila mtu kapewa cha kwakeUsiangalie mali na maendeleo yao,hata afya yako nzuri ni utajiri kuliko chochote....
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
Kama Mola anakujaalia uzima fanya kazi...utapata. Halafu hizi definition za mafanikio=gari&nyumba zitaw aumiza..ndo zinapelekea hamthamini elimu mliyopata na kuitumia vema.Mimi mwenyewe linaniathiri sana psychologically ..wenzangu wote niliowaacha lower levels sasa hivi wapo higher levels kiuchumi
Hili nalo neno...mi ambao nimewaacha na std seven naona wana watoto wengi tu basi...lkn kimaendeleo bado!Acha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.
Fuatilia matajiri wa tz uone walivopiga kitabu kuanzia kwa Mengi,bakhresa,dewji etc mpk fobes inawatambua.hao std wana hela za kula tu na familia zao unadai matajiri.unaelewa maana ya utajiri ww?
Dah......tatizo wabongo wengi mnajichanganya sana......Nani kakwambia ukiwa unasoma usitafute namna ya kupata kipato? Au usiwe na mahusiano? ...Mbona kusali hamuachi?Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
My dad he is my role model.
Baba yangu alikuwaga na akili za kawaida darasani ,alipomaliza la saba miaka ile hakufaulu kutokana na uhaba wa shule wa miaka ile ndugu zake wakampeleka shule binafsi maana wazazi wake walikuwa wamefariki tayari alisoma form one na form two akaridhika akawambia Dada zake elimu ya secondary imemtosha maana lengo lake ilikuwa ni kufahamu kingereza .
Aliacha elimu ya sekondari akaenda kujiunga na chuo cha ufundi ,alijenga uaminifu kwa watu na kuitendea haki taaluma yake ya ujenzi .
Huwezi kuamini baba yangu anamiliki kampunin tatu za ujenzi ana magari ya biashara sio chini ya 20 garage kibao nyimba na mahotel kadhaa INA miradi ya biashara kawaajiri hata wale waliopiga kitabu zaidi.
Baba yangu cheti cha form four hana ila inapiga kazi zaidi ya maengineer waliosoma urusi
Dah umejua kunichekesha
NimetamaniMkuu hongera zimuendee baba yako.
Kila mtu anayo malengo yake.Baba yako alikuwa anajua anataka nini katika maisha yake
Akaamua (ajilipuwe na ndoto yake) na amejaaliwa ka weza timiza.Wako wengine walifanya kama baba yako lakini bado wako mitaani wana bishana Simba na Yanga kwa sababu hawakuwa na malengo.
Malengo ni muhimu sanaaaaaa tu ukiwa msomi au usiwe msomi.Wasomi wengi wanahisi watafanikiwa tu na hayo ndio matatizo yanayo tukabili.