Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Everything has to be at his, just thank God for everything..maadamu ni mzima na una elimu ya kutosha lawama zinatoka wapi sasa? Inawezekana wakati wenzako wanamaliza wewe ndio utapata nafasi ya kuanza so sioni haja ya kuangalia maisha ya wengine kwa kigezo chochote kile kwa kuwa hakuna anayejua mpango wa Mungu juu yako mkuu!
Lazima uende na wakati ndg
 
Pole mkuu, rudi chuo ukaongeze na ka masters. Ukiona bado upati kazi ongeza tena na ka PhD! Elimu ni ufunguo wa maisha....
 
Acha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.
Fuatilia matajiri wa tz uone walivopiga kitabu kuanzia kwa Mengi,bakhresa,dewji etc mpk fobes inawatambua.hao std wana hela za kula tu na familia zao unadai matajiri.unaelewa maana ya utajiri ww?
Hao walitafuta kwanza ndio wakaja kusoma chunguza uambiwe
 
20837768_1628053220552274_8534662687932547072_n.jpg

Acha kauli za kimaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*NIMEZIPENDA HIZI Kauli 18 za mtu asiye na MALENGO wala UTHUBUTU*

1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa
8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati
11) kupata si uhodari nami nitapata tu.
12) Mimi ni fungu la kukosa tu.
13) muda wangu bado nitapata tu
14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji
16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi.
18)Rais anabana sana

*USIFUNGAMANE NA MTU WA AINA HII*
By EUSTACE LUBULI
[emoji120][emoji389]KARIBU SANA KWENYE FURSA [emoji389][emoj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana ya kusoma sana mpaka chuo kikuu uwe mbunifu kutawala maisha yako mtakufa maskini kusubiri kuajiriwa.
 
Acha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.
Fuatilia matajiri wa tz uone walivopiga kitabu kuanzia kwa Mengi,bakhresa,dewji etc mpk fobes inawatambua.hao std wana hela za kula tu na familia zao unadai matajiri.unaelewa maana ya utajiri ww?
Hili nalo neno...mi ambao nimewaacha na std seven naona wana watoto wengi tu basi...lkn kimaendeleo bado!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Dah......tatizo wabongo wengi mnajichanganya sana......Nani kakwambia ukiwa unasoma usitafute namna ya kupata kipato? Au usiwe na mahusiano? ...Mbona kusali hamuachi?
Vyote hivyo vinne... Ujuzi, kipato, mahusiano na imani ndiyo vinafanya maisha ya mwanadamu.... Ukikosa kimoja huna tofauti na tumbili....ukweli mchungu...[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
My dad he is my role model.

Baba yangu alikuwaga na akili za kawaida darasani ,alipomaliza la saba miaka ile hakufaulu kutokana na uhaba wa shule wa miaka ile ndugu zake wakampeleka shule binafsi maana wazazi wake walikuwa wamefariki tayari alisoma form one na form two akaridhika akawambia Dada zake elimu ya secondary imemtosha maana lengo lake ilikuwa ni kufahamu kingereza .

Aliacha elimu ya sekondari akaenda kujiunga na chuo cha ufundi ,alijenga uaminifu kwa watu na kuitendea haki taaluma yake ya ujenzi .

Huwezi kuamini baba yangu anamiliki kampunin tatu za ujenzi ana magari ya biashara sio chini ya 20 garage kibao nyimba na mahotel kadhaa INA miradi ya biashara kawaajiri hata wale waliopiga kitabu zaidi.

Baba yangu cheti cha form four hana ila inapiga kazi zaidi ya maengineer waliosoma urusi

Mkuu hongera zimuendee baba yako.
Kila mtu anayo malengo yake.Baba yako alikuwa anajua anataka nini katika maisha yake
Akaamua (ajilipuwe na ndoto yake) na amejaaliwa ka weza timiza.Wako wengine walifanya kama baba yako lakini bado wako mitaani wana bishana Simba na Yanga kwa sababu hawakuwa na malengo.
Malengo ni muhimu sanaaaaaa tu ukiwa msomi au usiwe msomi.Wasomi wengi wanahisi watafanikiwa tu na hayo ndio matatizo yanayo tukabili.
 
Nimetamani
 
Back
Top Bottom