Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

Laumu vyombo vya habari vyetu ambavyo siyo inquisitive. Rais hapaswi kujipigia debe mwenyewe kwamba tumefikia hapa au pale no huo ni ushamba na ulimbukeni. Ile culture ya jpm ilipaswa ipingwe na watu wenye akili ispokuwa we popoma
Mimi popoma nitalaumuje vyombo vya habari ambavyo vimeacha kuwajibika awamu hii? Kumbe na wewe asiye popoma (sijui kinyume chake!) umeona kwamba vyombo vya habari awamu hii havitendi wajibu wao! Sasa kwa taarifa yako siyo vyombo vya habari tu! Hata wewe asiye popoma (hivi mtu ambaye siyo popoma anaitwaje?) unafurahia hali hii ambayo watu hawawajibiki! Lakini utawasikia hao hao wanataka wakiamua asubuhi wakute Tanzania imebadilika imekuwa Canada! Hakuna Bodaboda, Mama Ntilie zote zimegeuka KFC, MACDONALD, CHICKEN LICKEN, NANDOOS, DEBONAIRS pizza, etc.
 
Ila jamaa alitupeleka mchaka mchaka wa hatari, dah noma sana!!! Amani ilitoweka si mtaani wala kwenye mitandao ya kijamii!!! Mtaani tunaogopana!!! Trafiki na TRA waliwaka moto aisee!!! Watu hatujui kesho tunaamka na mwelekeo gani na taifa letu!!!

Viherehere wa JF kina GENTAMYCINE na Erythrocyte na sisi wengine tulikuwa tunawindwa kama swala!!! Una log in ukiwa chooni hata unaelala nae humuamini kwenye username ya JF!!! Ilikua kasheshe na nusu!!! Full mtanange!!!

Zero IQ huyu mwamba alikua anatupoza roho na nyuzi zake za kuwala wake za watu kwenye kibanda chake cha chips!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Those days...
 
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.

Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Unaongea ushuzi baridi. Muhadithie bibi yako
 
Mbona anaposifiwa hamlalamiki?! Vumilieni upande wa pili pia.
Hata hakisifiwa kwakwe haina faida yoyote jamaa hasikii wala hawezi kujibu chochote,ila sisi ambao bado tunapumua yanatukela sana maneno ya Mafisadi na watu kaka zitto,Lemma na Mbowe kumshambulia mtu ambaye keshakufa.
Mimi uwa nnakaa napima sana kiwango cha uelewa na kujitambua kwa viongoz kama wale,na uwa najitahid sana kupingana nao kwa sababu ata wao walishafiwa pia......Mfano zitto kabwe alishawai kulia Bungeni kisa kuna mtu alimsema vibaya mama yake ambaye naye ashafariki.
 
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.

Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Yaani jamaa lilikuwa SHAMBA SANA!!!Ila tulikuwa tumeingizwa kwenye mtumbwi wa vibwengo.
 
Au we ndo mbumbumbu hukuwaga na huruma kwa watu wanaouawa na jpm kama nzige vile. We uliona sawa tu
Mkuu hao ndio waliokuwa wanakula mema ya nchi!!sasa lazima wapagawe tena bora angekuwa amestafu wangekuwa wamejiandaa!!sasa hii ya KUKATA MOTO GHAFLA TU!!ni hatari sana.Sasa hivi wako hoi huko.
 
N
napata wasiwasi juu ya Uwezo wa akili Alonao Mtanzania anayemtukana JPM, Huwa Nahisi vichwan ni mbumbumbu .
Nenda kwenye kioo kajiangalie,huenda wewe ndiyo mbumbumbu...yule jamaa alidai bila yeye nani angejenga barabara,hospitali...hapo alisahau sijui kama alisema yule daktari wa kike anamjua vizuri alivyo kisa alimtibu moyo wake,Sasa sijui alipatiwa tiba kwa mganga wa kienyeji au hospitali!?..Kama hospital alijenga nani!?..
 
Ile kauli ya JPM ilikuwa kauli ya nasaha kwa wale wanaobaki nyuma yake!
Bila hiyo kauli Miradi ingekuwa imeshatelekezwa yote!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nchi Imekua na miradi wakati jpm anapima kemikali za kutengeneza fanta,acha ujinga...jakaya kafanya miradi mingapi!?
 
Mhuni tu hana lolote.
Halafu akalaghai wajingawajinga wa kumuona sio kama binaadam wengine maana yeye ni wa kutawala milele. Wajinga wakaanza kufikiria kumuita mungu na nabii kuliko manabii wote.

Kwa kweli kumbe tukiambiwa ni masikini sio shekeli tu hata akilini umasikini wa hatari na huu wa kichwani ndo unatutafuna kama cancer kila nyanja ya kijamii iko hoi🤔
 
Huwa napata wasiwasi juu ya Uwezo wa akili Alonao Mtanzania anayemtukana JPM, Huwa Nahisi vichwan ni mbumbumbu .
Nahisi wengi wao usikute wanaishi nje ya nchi. Ila inasikitisha sana kujitafutia laana. Ndiyo maana kile ki ngo cha Mbowe kilishajifia kwa sababu ya kumtukana JK, leo hii wanajaribu kujipendekeza kwa JK ili awasamehe wakati siyo rais na mamlaka iliyotukanwa ipo tena ina kumbukumbu ndiyo maana ngo hiyo it will never amount to anything
 
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.

Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Kazi kweli kweli
 
Halafu akalaghai wajingawajinga wa kumuona sio kama binaadam wengine maana yeye ni wa kutawala milele. Wajinga wakaanza kufikiria kumuita mungu na nabii kuliko manabii wote.

Kwa kweli kumbe tukiambiwa ni masikini sio shekeli tu hata akilini umasikini wa hatari na huu wa kichwani ndo unatutafuna kama cancer kila nyanja ya kijamii iko hoi🤔
😅😅😅
 
Back
Top Bottom