Ila jamaa alitupeleka mchaka mchaka wa hatari, dah noma sana!!! Amani ilitoweka si mtaani wala kwenye mitandao ya kijamii!!! Mtaani tunaogopana!!! Trafiki na TRA waliwaka moto aisee!!! Watu hatujui kesho tunaamka na mwelekeo gani na taifa letu!!!
Viherehere wa JF kina
GENTAMYCINE na
Erythrocyte na sisi wengine tulikuwa tunawindwa kama swala!!! Una log in ukiwa chooni hata unaelala nae humuamini kwenye username ya JF!!! Ilikua kasheshe na nusu!!! Full mtanange!!!
Zero IQ huyu mwamba alikua anatupoza roho na nyuzi zake za kuwala wake za watu kwenye kibanda chake cha chips!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]