DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yule Mwendazake alikuwa anawa-blind watz wajingaHoja ni.. nan ataweza kuendeleza! Alianzisha miradi muhimu san hakuna anaepinga kwa maendeleo ya Taifa! But hoja akiondoka hakuna wa kuendeleza kwamba he was special hakuna mwanadam angeweza kuendeleza aliyoanzisha? Hii ilikua brainwashing na mkaingia mazima!!
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ELIMUIle ilikua brainwashing!! Na wajinga wakaingia chaka, hakuna kiongoz ambae atafanya miradi flani halaf mwingine ashindwe kufanya au kuendeleza!! Hii ni moja ya hoja nilikua naipinga awamu ya tano, yaan kufanya yeye ndie alikua bora wengine hawawez??
Ilikuwa dharau ya wazi kabisa yaani! Ujue Kuna vitu yakitamkwa na mtu unajua kabisa moyoni mwake kumejaa nini!Hoja ni.. nan ataweza kuendeleza! Alianzisha miradi muhimu san hakuna anaepinga kwa maendeleo ya Taifa! But hoja akiondoka hakuna wa kuendeleza kwamba he was special hakuna mwanadam angeweza kuendeleza aliyoanzisha? Hii ilikua brainwashing na mkaingia mazima!!
Rejea definition ya "History"!Hivi mbona mnapambana na marehemu au na nyie mshakufa tunajibizana na maiti/Mizoga humu?
Atakumbukwa kwa mambo ya hovyo kama utekaji , uuaji, uporaji na kupiga watu risasi.lakini Magufuli atakumbukwa vizazi na vizazi kwa mambo
Hiyo air tz lini imekuwa sawa!!!Air tanzania hoi, sgr hoi, MNHP hoi, wizi umerudi, mashara kazini yamerudi. Niambie ni mradi upi upo kwenye timing iliyowekwa yote ipo nyuma ya mda kwa mwaka mzima
Hakuna wa kukufanya mjinga ujinga mmezaliwa nao na janga kubwa sana kwenye ukoo wenu.Rejea definition ya "History"!
Mstake kutufanya sisi ni wajinga kama nyie!
Ccm ndo iliwapa elimu duni hawajui walipoti Nini waache kipi. Kwa elimu duni hii ndo mana wasomi wengi wanakimbilia kuendesha bodaboda na vicoba na wanaona ni ajira muhimu sana kwao. Ccm imdhaharibu nchi sana ndo mana huwezi kumuona mtoto wa nchemba au waziri yeyote anasoma shule za public kwa sababu hawaamini elimu yetu huko.Mimi popoma nitalaumuje vyombo vya habari ambavyo vimeacha kuwajibika awamu hii? Kumbe na wewe asiye popoma (sijui kinyume chake!) umeona kwamba vyombo vya habari awamu hii havitendi wajibu wao! Sasa kwa taarifa yako siyo vyombo vya habari tu! Hata wewe asiye popoma (hivi mtu ambaye siyo popoma anaitwaje?) unafurahia hali hii ambayo watu hawawajibiki! Lakini utawasikia hao hao wanataka wakiamua asubuhi wakute Tanzania imebadilika imekuwa Canada! Hakuna Bodaboda, Mama Ntilie zote zimegeuka KFC, MACDONALD, CHICKEN LICKEN, NANDOOS, DEBONAIRS pizza, etc.
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.
Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
dah punguza ukali wa maneno🤣🤣🤣 alidhani nchi ni ya baba yake na akadhani bila yeye tz itafutikaJamaa alikua boya sana
YahIlikuwa dharau ya wazi kabisa yaani! Ujue Kuna vitu yakitamkwa na mtu unajua kabisa moyoni mwake kumejaa nini!
Uzuri ni kuwa ukianza finger pointing vidole vinakuumbua!! 3 vs 1!Hakuna wa kukufanya mjinga ujinga mmezaliwa nao na janga kubwa sana kwenye ukoo wenu.
Ndio maana kwenye upande wa siasa JF siizingatii sana ukilinganisha na other platforms.Ukuenda mtaani, Twitter au Insta kila mtu anamsifia na kumkumbuka JPM, ukiingia JF kila mtu anampondea JPM kuna siri gani hapa?
Jamiiforums ni kitalu cha propaganda.Ukuenda mtaani, Twitter au Insta kila mtu anamsifia na kumkumbuka JPM, ukiingia JF kila mtu anampondea JPM kuna siri gani hapa?
Hawa ni mashushushu uchwara wanaotengeza propaganda.Ukuenda mtaani, Twitter au Insta kila mtu anamsifia na kumkumbuka JPM, ukiingia JF kila mtu anampondea JPM kuna siri gani hapa?