Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nina miaka 26
Nina loa (na ndio maana na yeye anashangaaa maana mpk shuka ina loaa)

Alienitoa bikira sijui kamA niliridhiaa ila hakunibaka

Maumivu ni anapoingizAa na akipump
Unaposema jamaa yako ana size ya kawaida unamaanisha nini?

Ulishajaribu kubwa na ndogo na ukafahamu hii ni size ya kawaida?

Size ya kawaida kwa mwingine, ni size kubwa mno kwa mwingine. Unless otherwise, ulishafanya na mtu aliyemzidi ukubwa huyo uliyenaye sasa.
 
Pole sana .
Je utakuwa huru nimwage uhalisia wa hali yako hapa hautajisikia vibaya ?

Ikiwa hautapenda ila utahitaji nikusaidie karibu PM .

Nb .Sijalewa najielewa na nipo serious kukusaidia kwahiyo usije kwa hofu kuwa nitakutongoza hapana .

Karibu , lakini pole haupo pekee yako wengi wamekuwa na hali kama yako

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 

Yaani mkuu nikikwambia huyu jamaa hana huruma sijui hutanielewa…. Wakati mwingine mpk nalia napo haisaidii

Sijajua kwa nguvu hiyo ni ipi maana sio kwa shughuli hiyo yaani mpk ninaomba apunguze speed inaumaa kichiziii
 

Jibu ndio… ngoja niende kwa daktari
 
Umejibu kwa hasira mkuu, mdau anahitaji msaada
 
Ndio nakwambia Mimi naelewa unachokisema ndio maana nakwambia jamaa yako sio normal ana kitu abnormal, anakutanua haswa ushawahi kupitisha tango kubwa mtomoni kwako au chungwa kubwa linakufanyaje mdomoni ukilazimisha kulipitisha?

Mkuu unanichosha kueleza hiyo size ya tango hajafikaaaa…. Angekuwa hivyo nisingetafuta ushauri ningejua tu sababu kuwa nani yake kubwa ila siyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…