Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Mzee ukishauri sasaHizi zama zetu wagonjwa ni wengi kuliko wazima na cha ajabu wagonjwa wengi ni under 25 😐
vijana watumie kinga, ni bora kuliko kukojoa wembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ukishauri sasaHizi zama zetu wagonjwa ni wengi kuliko wazima na cha ajabu wagonjwa wengi ni under 25 😐
vijana watumie kinga, ni bora kuliko kukojoa wembe.
Kwani nimekosea?Mzee ukishauri sasa
vip wewe uko juu ya uo umriKwani nimekosea?
Mimi nipo above fotevip wewe uko juu ya uo umri
HahahahaMimi nipo above fote
Inachekesha eehHahahaha
Toka bwan wewInachekesha eeh
Sawa ila ushauri wangu ni huo muwape na wadogo zenu wa kiume.Toka bwan wew
Usinilazimishe bwan weweeeeeSawa ila ushauri wangu ni huo muwape na wadogo zenu wa kiume.
Duuu hapo nenda hospital 🏥 ukapime upate tiba sahihi, umechimba mgodi siyo, (ajali kazini)Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano.
Kuna kitu nilifanya ijumaa
Sijakulazimisha n ushauri tuUsinilazimishe bwan weweeeee
KwendaaaaSijakulazimisha n ushauri tu
Anapenda ze utamu amepate ze uchunguKuna uwezekano mkubwa ni ugonjwa wa zinaa (Gono, Kaswende, Kisonono, n.k)
wahi hospitalini mapema !!
Hizi starehe za dakika chache zisikubabaishe ujilipue kisa shepu, upole, umri, kupania, n.k. TUMIA CONDOM !! utasifiwa ni mjanja lakini kwenye magonjwa utapambana kivyako