camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Unautamani sana mwisho wa myahudi eeeeh!Mparestina mwenyewe alipewa silaha myahudi anakaa.ndo maana wanapigana Leo kesho kumzuia mparestina kuwa taifa.wanajua parestina ikiwa taifa wataunda jeshi lao.na watapewa silaha na mwisho wa myahudi ndo utakuwa huo
Kuthibitisha ndio hivyo nimekwambia Israel na Marekani waliomba vita isimamishwe sasa unataka Nini Tena?Unayeleta hoja ni jukumu lako kuithibitisha, sio mimi nikusaidie.
Mwisho wa myahudi ni Moja wapo ya dalili za kiamaUnautamani sana mwisho wa myahudi eeeeh!
Aliyeomba vita isitishwe ndio alioumia . Simple logic π€£Niue mkuu wa majeshi, mkuu wa ujasusi, mkuu wa kitengo cha nyuklia pamoja na wasaidizi wao, niharibu kabisa project Yako ya nyuklia alafu wewe upige bomu manzese uwanja wa fisi, kimboka ama Mwananyamala Kwa kopa pale nyuma ya hospital alafu unajisifu ni mwamba!! huo ni uwendawazimu.
AsanteeEvidence hizi hapa
Kwa mujibu wa nani?Mwisho wa myahudi ni Moja wapo ya dalili za kiama
Israel waliandaa mossad agents wengi sana ndani ya Iran,mossad waka recruit na wa Afghanistan na kuwapa mafunzo ya ku operate drones, lengo likiwa kufanya sabotage kwenye air defenses za Iran, kufuatilia na kuwaua makamanda wa ngazi za juu wa jeshi na wanasayansi wa atomic , kufanya mashambulizi kwenye kambi za kijeshi...Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.π€£
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Yaani kwa akili yako myahudi awekwe kwenye kona na muislam halafu aombe msamaha aachiwe?Aliyeomba vita isitishwe ndio alioumia . Simple logic π€£
Unaambiwa Israel hakufanikiwa kupiga hata bomu moja Iran!Israel waliandaa mossad agents wengi sana ndani ya Iran,mossad waka recruit na wa Afghanistan na kuwapa mafunzo ya ku operate drones, lengo likiwa kufanya sabotage kwenye air defenses za Iran, kufuatilia na kuwaua makamanda wa ngazi za juu wa jeshi na wanasayansi wa atomic , kufanya mashambulizi kwenye kambi za kijeshi...
Walijipanga pia kushambulia launchers za ballistic missiles, mahali ballistic zinapohifadhiwa... na sehemu nyingi nyeti....
Hivyo baada ya mashambulizi hayo Iran ingekuwa weak, hivyo US ingeingia na kuanza kufanya mashambulizi ya anga huku waki join forces...
Hivyo jeshi lingeshindwa kuji organize sababu makamanda wamekufa, ina maana jeshi la Iran lingebaki kama gari hakuna dereva, hapo NATO ingeweka buti chini na kuanza kupambana na jeshi la Iran ambalo sasa halina muelekeo...
Kilichotokea Israel ilibidi kumuomba US waishawishi Iran iache kupeleka vyuma....
Kuna jamaa mmoja anaishi Jordan, alikuwa anasema kombora la Iran lilikuwa likipiga Israel, ule mtetemo Jordan walikuwa wanauisikia ardhini, zaidi ya kilomita 100 na zaidi.... you can imagine waliokuwa kilomita 10 ilikuwaje...
Ilikuwa inatisha sio mchezo, hiko ndicho kilifanya wananchi waanze kukimbia kuelekea Cyprus... Israel ingepambana miezi mitatu tu... sijui ingekuwa vipi, ilikuwa inakuwa Gaza halisi...
Huna akiliHii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.π€£
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Miaka yote nchi za Waarabu wanapigana na Israel kanchi kadogo kama Dar ila bado wanashangazwa πHalafu anacheka na kujibatiza "sir"!Labda alitaka kujiita "SIRI"!
Yaani nianzishe ugomvi nikutandike kisha nikuambia sasa inatosha tusiendelee kupigana na ww unakubali kirahisi tu sasa hapo nani mbabe?Aliyeomba vita isitishwe ndio alioumia . Simple logic π€£
Na Netanyahu kaenda hospital kulia eti Iran wanalenga hospital ilikuwa njanja ya kumwambia Trump Baba twafaaaaaa uku tupia taulo ulingoni kabla kuchelewa maweeee!!!!ππππ€£π€£ Eti Israel ikaanza kulalamika Iran anashambulia makazi ya raia badala ya maneno ya kijeshi aise nilicheka sana .
Umeandika uzi.kisomi sana,wewe utakuwa ni mtaalamu,wa masuala ya kidiplomasiaHii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.π€£
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Huu ndio ukweliNa Netanyahu kaenda hospital kulia eti Iran wanalenga hospital ilikuwa njanja ya kumwambia Trump Baba twafaaaaaa uku tupia taulo ulingoni kabla kuchelewa maweeee!!!!πππ
Hilo neno "kimbo" limenikumbusha mbali sanaAkijibu unistue nikupasie kimbo ya komoni na wewe ulewe.