Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Mimi nilifurahi kuona mtu mmoja anazikwa... mmoj tu"
 
Nililia Sana niliposhuhudia maiti ya mama yangu mzazi.Nililia zaidi nilipoingia mochwari kumsitiri.Niliishiwa nguvu siku Ile nilipofuta namba yake kwenye simu yangu.KWELI MAISHA HAYANA MAANA!!!
 
Nililia Sana niliposhuhudia maiti ya mama yangu mzazi.Nililia zaidi nilipoingia mochwari kumsitiri.Niliishiwa nguvu siku Ile nilipofuta namba yake kwenye simu yangu.KWELI MAISHA HAYANA MAANA!!!
Poleh mumy Mungu akufariji siku zote
Kama ni kitu naomba ni wanangu wasiwe yatima wakiwa na umri mdogo
Naomba uturuzuku wazazi wao hii neema mwenyezi AmenπŸ™πŸ½
 
Yes,watu wanatishana utadhani wameshakufa wakarudi. Who ever experienced death tuko naye hai jamani.
Sema biandamu bila ya kutishwa Ni kiumbe hatari mno so Bora aogopeshwe ili aishi kwa amani na wenzake la sivyo Kuna watu watatembezewa rungu mno kwa wake zao live bila chenga
 
Mkuu usitishike mule kaburi hakuna harakati yoyote mtu akishakata moto mwili ausikii wala kutambua kitu ndio mana wenzetu waindi wanachoma moto kabisa kwa kulijua holo uwa tunatishana tu .
 

Mi kwanza nafikiria uke mda ndio niko kwenye friji sasa(hapa najiulizaga hivi jitajisikiaje)alafu na ule mda ndo umefukiwa alafu ndio kifusi kiko juu na wewe uko mle ndani sasa !daaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] alafu ndo siku kama 5hivi tangu uzikwe wale funza sasa wanavyokutafuna yaani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hakuna mjanja kwenye kifo; wote tuheshimiane na tuishi kwa upendo, tunapita;na hakuna maisha mengine baada ya kifo; kitakachobaki ni histori kwa kizazi ulichokiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…