Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Mimi nilifurahi kuona mtu mmoja anazikwa... mmoj tu"
 
Nililia Sana niliposhuhudia maiti ya mama yangu mzazi.Nililia zaidi nilipoingia mochwari kumsitiri.Niliishiwa nguvu siku Ile nilipofuta namba yake kwenye simu yangu.KWELI MAISHA HAYANA MAANA!!!
Poleni sana na majukumu.

Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu!

Nikienda makaburuni makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.

Maisha baada ya kifo ndio swali zito sana linalonijia kichwani mwangu.

Unafukiwa, unaoza na kuwa udongo... Feeling yake unapokufa pia inatafakarisha sana.

Kweli siri ya maiti iajuaye kaburi.

Tutende mema wakati wote jamani
 
Nililia Sana niliposhuhudia maiti ya mama yangu mzazi.Nililia zaidi nilipoingia mochwari kumsitiri.Niliishiwa nguvu siku Ile nilipofuta namba yake kwenye simu yangu.KWELI MAISHA HAYANA MAANA!!!
Poleh mumy Mungu akufariji siku zote
Kama ni kitu naomba ni wanangu wasiwe yatima wakiwa na umri mdogo
Naomba uturuzuku wazazi wao hii neema mwenyezi Amen🙏🏽
 
Alafu zile Stori za eti anakuja malaika anakutoa roho huku unaona video ya maisha yako ni uwongo mtupu na kutishana kusiko sababu.unaambiwa roho inavyotoka maumivu yake Bora uminywee pu**[emoji28] au afadhali maumivu ya kujifungua Kwa wanawake yanaanzia kwenye vidole kisha yanapanda Hadi utosini wakati roho inatoka

Wakati ukiweka zako jiko la mkaa chumbani kisha ukafunga madirisha na mlango unakufa Kama umelala,kimya kimya burudaani kabsa[emoji1]..Tunatishana Sana
Yes,watu wanatishana utadhani wameshakufa wakarudi. Who ever experienced death tuko naye hai jamani.
Sema biandamu bila ya kutishwa Ni kiumbe hatari mno so Bora aogopeshwe ili aishi kwa amani na wenzake la sivyo Kuna watu watatembezewa rungu mno kwa wake zao live bila chenga
 
Poleni sana na majukumu.

Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu!

Nikienda makaburuni makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.

Maisha baada ya kifo ndio swali zito sana linalonijia kichwani mwangu.

Unafukiwa, unaoza na kuwa udongo... Feeling yake unapokufa pia inatafakarisha sana.

Kweli siri ya maiti iajuaye kaburi.

Tutende mema wakati wote jamani
Mkuu usitishike mule kaburi hakuna harakati yoyote mtu akishakata moto mwili ausikii wala kutambua kitu ndio mana wenzetu waindi wanachoma moto kabisa kwa kulijua holo uwa tunatishana tu .
 
Poleni sana na majukumu.

Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu!

Nikienda makaburuni makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.

Maisha baada ya kifo ndio swali zito sana linalonijia kichwani mwangu.

Unafukiwa, unaoza na kuwa udongo... Feeling yake unapokufa pia inatafakarisha sana.

Kweli siri ya maiti iajuaye kaburi.

Tutende mema wakati wote jamani

Mi kwanza nafikiria uke mda ndio niko kwenye friji sasa(hapa najiulizaga hivi jitajisikiaje)alafu na ule mda ndo umefukiwa alafu ndio kifusi kiko juu na wewe uko mle ndani sasa !daaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] alafu ndo siku kama 5hivi tangu uzikwe wale funza sasa wanavyokutafuna yaani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hakuna mjanja kwenye kifo; wote tuheshimiane na tuishi kwa upendo, tunapita;na hakuna maisha mengine baada ya kifo; kitakachobaki ni histori kwa kizazi ulichokiacha.
 
Back
Top Bottom