Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Pole sana Nikita.

Umeonesha dhahiri kuipenda nchi yako. Sio kwa maneno bali kwa vitendo.
Mungu akuponye majeraha urudi kupambania mkate.

Pokea maua yako🌹🌹🌸🌸
 
Ndiyo natambua wapo waliokufa wasio na hatia na wapo waliokufa huku wakiwa wanastahili hicho kifo.
Ni kosa gani lina stahili kifo chakuuliwa na risasi za moto.?!

Wewe unaweza kumkata mtoto vidole vyake vyote na kubakia na viganja kwa kosa la kudokoa mboga!

Tuna wajua ninyi mnaowaza MALI muda wote jinsi roho zenu zilivyo
 
Aseehhh...achana nae huyo
Jua tu miye nakupenda sana wewe ni shujaa wetu
Siku ukiandika uniite kipenzi
Mungu akulinde na kizazi chake kiwe bora na chenye baraka na ukishika au kukanyaga ushike au ukanyage almas au dhahabu
Amen kipenzi ❀️
Nikiandika nitakuita acha nipone kwanza..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni mwendo wa β€œhigh press” tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Sena mdogo wangu ninapotia mguu nawe umo πŸ˜‚πŸ˜‚
Nashukuru upo salama baada ya haya mauaji ya halaiki πŸ˜”
Hapa ondoa shaka, Lamomy ni pacha wangu, na mimi silagi familia 😁.

uzima muhimu kaka, japo ground hakukuwa fair kabisa.
 
Hapa ondoa shaka, Lamomy ni pacha wangu, na mimi silagi familia 😁.

uzima muhimu kaka, japo ground hakukuwa fair kabisa.
Oya sio poa, sijawahi kuwaza kuna watanzania wenzetu jau kiasi hiki ile ni hatari
Ni jambo la kushukuru mungu tuko salama, na roho za ndugu zetu zipate pumziko na amani ya milele huko walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…