Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

Kariakooking1978

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
549
Reaction score
1,078
Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza.

Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion company named KARIAKOO KING".
Basi baada ya sekunde kadhaa AI ikanitolea picha nitakazoziweka hapo chini.
Hizi picha zimenihamasisha sana kutokana na uhalisia wake wa mazingira kama ya kariakoo.
Any way sahizi nikiwa na miaka 22 nahamasika ndani yangu nikifika hata kwenye miaka 30 niwe na kawarehouse kamchongo pale kariakoo ili zile parcel zenu ziendelee kusafirishwa kwa usalama sana.


TUNAHAMASISHANA TU,IMAGINATION IS FREE

Picha zenyewe👇👇👇

CREDIT : AI IMAGE GENERATOR

USISAHAU: Naendelea kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na Nchi jirani kila siku.

0745645035.
 
Wewe ni winga? Komaa Mzee wakaz ndoto hutimia kwa kujituma na kua mwaminifu kwako na kwa wengine ,itunze sana afya yako pia Fanya ufanyavyo usiingie katika mgogoro wa aina yeyote na jamuhuri
Nimekuelewa mkuu nitayafanyia kazi
 
Inawezekana sana, imagination is power. Utakuja kuisoma na kuikumbuka post yako miaka ijayo and utasema kweli imagination works.
 

Kwanini usiwe na ofisi ili ujenge trust mazima? Wengi wanatamani hii huduma yako ila wanaogopa kupigwa. Embu fikiri kuhusu hili for while. Nakubali jitihada zako so powa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…