Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi

Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu kama nchi lazima tuanze kubrand mambo ambayo yanapatikana Tanzania pekee yake ziko njia nyingi ila mojawapo ya brand our uniqueness ni kutumia jina Tanzanite badala ya shillingi na hii inawezekana

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Mfano
Tanzanite 500/=
Tanzanite 1000/=
Tanzanite 10,000/=
Tanzanite 100,000/=
Tanzanite 1,000,000/=
Na kuendelea

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

 
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shiling

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

Nikopeshe tanzanite 500..
Hata haina mvuto wacha tubakie na shilling yetu .
 
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shiling

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

Nikiwa Rais tutabadili jina la nchi na kuwa United Tanzania State.

Hii ina maana wale wote wanaoidai United Republic of Tanzania wataendelea kuidai URT.

Sisi UTS hatutohusika.

Pia serikali mpya ya UTS inafanya mikataba upya na Wawekezaji wa Migodo kwa ajili ya Maslahi wa watu wake.

Tunapenda mataifa ya kiarabu serikali inatoa elimu bure hadi chuo kikuu, matibabu bure sababu ni mikata fair kwao ya uchimbaji bhai ujazaji wa mafuta.

Iwapo kuwepo kwa jina la Tanznaia ktkt ya United Tanzania State ni sawa na kuridhi madeni na mikataba ya kinyonyaji basi jina la nchi mpya litakuwa United African State
 
Kabla ya kubadili jina nafikiri ungeanza na kupunguza mshahara wa raisi na vigogo wengine
 
KUnadilisha jina la sarafu hakuna maana yoyote kama uchumi wa mtu mmoja mmoja upo HOI.
 
Back
Top Bottom