Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shiling

Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

Asee huyu mvuta bangi kila akilewa visungura anaota kuwa raisi
 
jina la "tanzanite" nalo unalizungumziaje?
 
Na symbol yake itakuwaje au itabaki ile ile? Maana kuichora hiyo Tanzanite tutatafutana. Labda tutu ka mstatiri kadogo
 
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shiling

Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

Madiji ya Tanzanite yakiisha tutabadili jina tena? Sasa hivi tu uzalishaji umepungua
 
Mtu hakatazwi kufikiria na kutoa mawazo yake.Umefikiria kizalendo kweli jina Tanzanite lina mvuto
Neno shillingi linatumiwa na nchi nne Kenya,Uganda,Tanzania na Somalia.
Neno Hela ni la kijerumani Heller
Neno Shikamoo la kireno
Kuazima maneno sio mbaya hata waingereza wameazima maneno haya toka kwetu mfano Ugali,Jembe na Safari.
Yako maneno ya makabila yameingizwa kwenye kiswahili mfano Kabwela-Kizaramo
Kung'atuka-Kizanaki
 
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shiling

Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu

NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE

Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM

🙋✍️🎯👍🤝🙏🛡️
 
Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi
 
KUnadilisha jina la sarafu hakuna maana yoyote kama uchumi wa mtu mmoja mmoja upo HOI.
Key Word ya Andiko la mleta Mada ni ufungamano uliopo Kati ya neno Shilling na Historia yetu,HAKUNA, utamaduni,historia na upekee ndio unaoifanya Dunia ipendeze ,ndio maana kabila ya Maasai ni maarufu zaidi AFRICA yote sababu ya kuPRESERVE CULTURE , unique identity ni jambo la msingi sana hata kama haina Economical impact lakini utambulisho ni kitu kizuri
 
Back
Top Bottom