Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
😂😂😂 haya.Tanzanite enyewe ni adim kupatikana ndio tuipe jina la feza
Freemason kwenye taifa letu inahusika vip mkuu
Acha story za jaba
😂😂😂 haya.Tanzanite enyewe ni adim kupatikana ndio tuipe jina la feza
Freemason kwenye taifa letu inahusika vip mkuu
Acha story za jaba
Utatusaidiaje sie vijana tunaotaka kuoa lakini ndalama ni kikwazo?Mambo ya kukuza nimeshayaongelea sana na ntaendelea kuyaongelea iĺa najaribu kugusa kila nyanja
Hayo mambo nimeshayaongelea na yapo kwenye nyuzi zangu sema tu hizo nyuzi hujazionaUtatusaidiaje sie vijana tunaotaka kuoa lakini ndalama ni kikwazo?
Je vipi kuhusu kujenga research institutes na sie tushinde nobel prize in chemistry physics na medicine
Gombea urais wa timu ya Tandale UnitedShilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi
Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu kama nchi lazima tuanze kubrand mambo ambayo yanapatikana Tanzania pekee yake ziko njia nyingi ila mojawapo ya brand our uniqueness ni kutumia jina Tanzanite badala ya shillingi na hii inawezekana
NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE
Mfano
Tanzanite 500/=
Tanzanite 1000/=
Tanzanite 10,000/=
Tanzanite 100,000/=
Tanzanite 1,000,000/=
Na kuendelea
Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ahsante chawa kwa kushiriki na karibu tenaGombea urais wa timu ya Tandale United
Kwani lazzima abadiki kwa kutoa kauli,ai anapelekq hoja kwenye vyombo vyenye mamlaka,kuanzia baraza la mawaziri, bungeni na kwingineko.Mamlaka ya rais kubadili jina la fedha umeyatoa kweny sheria gan ya nchi inayompa hio power???
Ntafanya siku nikiwa Ŕais ndo mchakato utaanzaKwani lazzima abadiki kwa kutoa kauli,ai anapelekq hoja kwenye vyombo vyenye mamlaka,kuanzia baraza la mawaziri, bungeni na kwingineko.
Kabla ya muingiliano na waasia hizo fedha mlikuwa nazo ?Jina tanzanite lina-deep rooted hapa Tanzania
Tanganyika haiwezi rudiMm ikitokea hivyo. Nairudisha TANGANYIKA
Wacha tuendelee na hili la MkoloniShilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi