Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #61
Ndo maana Tanzania Dpp anatakiwa awe anapigiwa kura na wananchi ili ahofie wananchiTanzania hakuna ufisadi wa kutisha?
Ripoti ya CAG mara ya mwisho umeisoma?
Nani ameghramia ununuzi wa pikipiki, baiskeli zenye nembo za Samia?
Bila kusahau mabango yaliyojaa barabarani kumsifia Samia?
Akina nani walifilisi mfuko wa bima ya afya mpaka serikali ikasema ni mzigo?
Umefanya cherry picking nimekuuliza DPP wa Tanzania kwa kipindi chake hiki yupo ofisini amemfunga hata diwani mmoja kwa ubadhirifu?