Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi
Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake ni ideal candidate kuweza kutumika kama jina la fedha yetu kama nchi lazima tuanze kubrand mambo ambayo yanapatikana Tanzania pekee yake ziko njia nyingi ila mojawapo ya brand our uniqueness ni kutumia jina Tanzanite badala ya shillingi na hii inawezekana
NIKIWA RAIS MOJA YA MAMBO NTAKAYOFANYA NI KUBADILISHA JINA LA FEDHA YA KITANZANIA LA SASA AMBALO NI SHILLING NA KUWA TANZANITE
Wako watakaosema hili sio takwa la msingi au sio jambo wananchi wanalotaka kwa sababu wanachangamoto nyingi sana NINA NYUZI NYINGI SANA AMBAZO ZINAONGELEA CHANGAMOTO NA ZIPO HUKU JAMIIFORUM
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...
www.jamiiforums.com