Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Hivi unajua vijana wenye kazi ni rahisi zaidi kupata kazi kuliko wale wasiokuwa nazo?

Kuna vijana nawajua hakai mahali miaka 3.

Ni organization over organization.
Watapata tu
Kila mtu na rizki yake

Ila katika kupata ndio hivyo kila mtu anapata kwa wakati wake.
Wengine watawahi, na wengine watachelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za kipumbavu
 
Ni moja motivation kijana asome kwa bidii .....Elimu haimtupi mtu mkuu haijalishi miaka mingapi itapita ....chukua hiyo mkuu

Watapata tu
Kila mtu na rizki yake

Ila katika kupata ndio hivyo kila mtu anapata kwa wakati wake.
Wengine watawahi, na wengine watachelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Kijana nilimshauri asome kile anachopenda, akaniambia yeye anasoma kile ambacho ajira zake ziko kirahisi.
😊
 
Kuna Kijana nilimshauri asome kile anachopenda, akaniambia yeye anasoma kile ambacho ajira zake ziko kirahisi.
[emoji4]
Atakuwa anajutia sasahivi.
Heri mtu usome kile unachopenda,hata ajira ikisumbua lakini unajua ni kitu unapenda.


Unasoma kitu hupendi,ajira unakosa
Hata ukipata ,hauwi na furaha na unachokifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati zako hukuvaa waache wavae, acha kujifanya una huruma!, kila mtu ana mkate wake
 
cheti wananipa mwezi wa 9,

graduu december, joho 75k, sibaki nalo

aisee hawanipati ng'o
Mnapewa cheti kabla ya gradu?

Basi nimekukosa, nilitaka nije πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆ

Graduu tamu ukiwa na uhakika wa ajira. Hapo utacheza sebene na kukata mauno ya hela yote mixer kutikisa wowowo kimgandisho.

Sio unagraduate kwenda kuuza chips, hata mood inakata ,πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…