Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

upo kundi gani hapo mkuu
 
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
 
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
Soma na elewa "ANATAKA FAIDA" sasa elfu 70 UTT kwa mwezi mzima hiyo biashara ya pipi?
Hao UTT wataingiza kiasi gani kwa hiyo pesa yake au unafikiri wanalaza na wenyewe?
 
kuuza sabuni haimaanishi hawana hizo bond
Kuna kitu inaitwa Kausha damu microfinance za mitaani hizi wakikupa 400 wanakata 15 wanakupa 385 na riba ya 18% jumla utawarejeshea 472.

Ukikopa 500 wanakupa 485 utarejesha 590k huyu hawezi kuwa fala kama huyu anayeenda kuwekewa hela
 
Kuweka BOT kima cha chini sh ngapi???wanapokea mtu personally ????
Watu binafsi wanapokea ndio na kima cha chini inategemeana na mnada wa hisa zao kwa wakti huo. Ila hata 500k unaweza kuweka ingawa return itakuwa ndogo sana labda uwe unafanya kama uwekezaji wa muda mrefu sana.

Kila ijumaa wanatoa seminar kwa wanaohitaji kufahamu mambo ya uwekezaji kwenye hati fungani zao,kawasikilize mkuu.
 
For the sake of knowledge between UTT liquid fund and TCB. what is the best to go with ?
 
Sana....
Yaani wanataka Ile biashara paah milionea....kusubiri wengi hawataki,kuharibu hawataki na wala kujisumbua hawataki...
 
Kama umewahi pigana utaelewa kilichotokea.
 
Boss hesabu zako mbona kama za kilimo cha matikikiti😀😀iyo financial plan ,sio poa ni ya kupiga faida tu
 
Majibu wa jamaa wa TIB

Ukiweka mzigo kwa miaka miwili mfurulizo ni 11% kwa kila mwaka ukiweka mzigo kwa mwaka mmoja ni 6%..... na hii ni kama offa imeanza mwez wa kwanza mwaka huu kwa Iyo brother weka 10M kwa miaka miwili utapata 11% kwa mwaka ila ukiweka mwaka mmoja utapata 6%..... mwisho wa mjadala wa mabank leten UTT Amis....[emoji1545]
 
Mkuu anakuzingua huyo hiyo sio offer hizo ni rates zao watu wameweka tangu mwaka juzi wamemaliza mkataba wameweka tena. Offer yao iliku 12% wakaifuta kama miaka 5 nyuma sisi wengine tunaweka fixed kitambo. Ila mjadala uishe "KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…