Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

Akifuata ushauri wako huu, baada ya miezi miwili tu ataanza kuokota makopo
 
Yaani biashara ya bodaboda na banda la chips kwa kuiandika hivi kweli inalipa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingia field ukutane na uhalisia wenyewe.

Hawa motivational speakers wanazingua sana unaweza kukaanga mtaji kijinga kabisa
 
Kakaa umeongea kwa sautii kalii mnooo na ubayaa Hiyo piki piki mwisho wa mkataba anachukua boda mwenyeweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmh hizi biasharaa ngumu sana aiseee...
 
Hahahaaa!! Maneno mengiiii weka na ww ushahidi wa mzigo mezani hapa.oh mara kiingeleza kingi kiingeleza bila pesa sw n makelele tu.
Mwamba haeleweki. Alivyoingia kwa mikwara miksa na matusi nikajua Dangote kaingia sasa. Kamtisha jamaa aweke fixed account documents jamaa chap kashusha muamala wa 50 million cash (11% interest paid monthly for 2 yrs). Na yeye badala ajibu mapigo anaongea tu yaani....

JF bana! 😁😁😁😁
 
Nitakutafuta
 
Yaani biashara ya bodaboda na banda la chips kwa kuiandika hivi kweli inalipa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingia field ukutane na uhalisia wenyewe.

Hawa motivational speakers wanazingua sana unaweza kukaanga mtaji kijinga kabisa
Kuna Masikini,Tajiri na maisha ya kati

Masikini:- Akipata hela matumizi tu hela haikai.

Maisha ya kati:- Hawa mara nyingi huishi maisha ya uigizaji lakini waoga wa kujaribu kufikia utajiri. Na waoga kurudi kwenye umasikini

Tajiri:- Akipata hela anataka imzalishie hela, hutumia njia ya kuwekeza ili azidi kuwa tajiri.

Huo niliotoa ni mfano tu sijasema anunue bodaboda au nimeandika anunue bodaboda??. Kuna njia nyingi sana tu za kujitoa kimaisha kama mamantilie ana dada saidia unajua kama anapata faida kwa uwekezaji wa dada saidia. Mfano Bakhresa ana wauza ice cream,mikate,juice na maji lakini ana viwanda, boti na apartment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…