Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.

Nikawasha Data naona bando limeisha.

Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.

Nikawasha VPN ikagoma.

Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?

Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale.

Mimi jana nilinunua Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea Ushindi wa Tundu Antiphas Lissu Baraka na Neema kutoka kwa Allah.

Wewe Mwenzangu umejiandaaje kusherehekea ukombozi huu wa Taifa?

Kila mtu kwa kadri ya uwezo wake, kama utachinja kuku sawa, kama utakula supu kwa Mama Ntilie sawa, au kama utapiga Pombe au viroba poa tu.

Alimradi tu kila mtu asherehekee na kufurahisha moyo wake.

Tunakutakia kila lililo Kheri Mh Tundu Lissu na Mh Heche.
mbuzi wa kafara sio gentleman ?🐒
 
Watu wengi dodoma walisafiri mikoa kibao kwenda kusema Ndiyoooo.....usilinganishe na uchaguzi huu unaokidhi viwango vya kimataifa vya credible and fair election
Ugumu wa jambo sio lazima uwe usahihi wa jambo.
Haya ni mazingaombwe kwa kizazi cha Artificial Intelligence.
 
Watu wachache vile wanakesha. Je wakipewa kusimamia uchaguzi mkuu wa taifa?
Si watamaliza mwezi?
Hii inadhihirisha ni kwa namna gani Watanzania hatujali muda, mkutano mkuu wa jana ulikuwa mahsusi kwa ajili ya kuchagua viongozi, lakini mambo yanakuwa lukuki ni nini tafsiri yake? Au ni mbinu za kuwadhoofisha watu wapoteze umakini ili mwisho wa siku meza ipinduliwe?
 
Hilo nalo neno, mkalitazame
 
Back
Top Bottom