Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 273
- 251
Uchaguzi wa huru na haki, hakuna janja janja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshinda, nianze kufurahiHongera hon lisu
AmeenHongera hon lisu
mbuzi wa kafara sio gentleman ?🐒NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?
Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale.
Mimi jana nilinunua Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea Ushindi wa Tundu Antiphas Lissu Baraka na Neema kutoka kwa Allah.
Wewe Mwenzangu umejiandaaje kusherehekea ukombozi huu wa Taifa?
Kila mtu kwa kadri ya uwezo wake, kama utachinja kuku sawa, kama utakula supu kwa Mama Ntilie sawa, au kama utapiga Pombe au viroba poa tu.
Alimradi tu kila mtu asherehekee na kufurahisha moyo wake.
Tunakutakia kila lililo Kheri Mh Tundu Lissu na Mh Heche.
Ugumu wa jambo sio lazima uwe usahihi wa jambo.Watu wengi dodoma walisafiri mikoa kibao kwenda kusema Ndiyoooo.....usilinganishe na uchaguzi huu unaokidhi viwango vya kimataifa vya credible and fair election
Tanganyika yote haijalalainamana tangu jna wajumbe hawajalala aisee dunia inamambo!
Kwani chadema ni Tume?Watu wachache vile wanakesha. Je wakipewa kusimamia uchaguzi mkuu wa taifa?
Si watamaliza mwezi?
We keep learning and improving.Ugumu wa jambo sio lazima uwe usahihi wa jambo.
Haya ni mazingaombwe kwa kizazi cha Artificial Intelligence.
Na visiwani piaTanganyika yote haijalala
HahahaHiyo Mbuzi fukia tu mkuu.
Kuwaamini wajumbe ni kama tumedhamini Mmasai, wanavaa bukta siku hizi, hawachelewi kukimbia na kukuachia mashuka yao.
Kuwa na matumaini, anza na tendo la Imani, andaa mkeka usherehekeeAmeshinda, nianze kufurahi
Hii inadhihirisha ni kwa namna gani Watanzania hatujali muda, mkutano mkuu wa jana ulikuwa mahsusi kwa ajili ya kuchagua viongozi, lakini mambo yanakuwa lukuki ni nini tafsiri yake? Au ni mbinu za kuwadhoofisha watu wapoteze umakini ili mwisho wa siku meza ipinduliwe?Watu wachache vile wanakesha. Je wakipewa kusimamia uchaguzi mkuu wa taifa?
Si watamaliza mwezi?
Hilo nalo neno, mkalitazameHii inadhihirisha ni kwa namna gani Watanzania hatujali muda, mkutano mkuu wa jana ulikuwa mahsusi kwa ajili ya kuchagua viongozi, lakini mambo yanakuwa lukuki ni nini tafsiri yake? Au ni mbinu za kuwadhoofisha watu wapoteze umakini ili mwisho wa siku meza ipinduliwe?
Usilalamike Sasa Lissu akishindwa sijui Kama aliwekeza kwa wajumbeUchaguzi wa huru na haki, hakuna janja janja
Chifu hakika uchaguzi huu umeutendea hski,nikipotea nikirudi nakukutaTanganyika yote haijalala
Lissu anashindwa huu uchaguziKuwa na matumaini, anza na tendo la Imani, andaa mkeka usherehekee
Ila Lissu atashindwa huu uchaguzi mbowe ataongoza chama kwa mara nyingine tenaChifu hakika uchaguzi huu umeutendea hski,nikipotea nikirudi nakukuta