Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

Kila zama na kitabu chake, hata hawa akina mond wakipitwa na wakati wajao wataonekana takataka kwa kizazi cha akina mond
 
Ndio maana siku hizi nasikilizaga mabolingo/rhumba za zamani

siku hizi wasanii wanaimba matapishi
 
Mwanangu aliuliza kuteleza ndo nini? Nkamjibu ni pruuu mpaka maka,
Hakuelewa.
Nkamwabia snail ukimpiga c anatoa machozi sasa akilia anatoa utelezi,
nkaulizwa snail anatoa wapi mate?
Nkamjibu.. kwenye antena zake zile mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…