yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Wanafata order ya
Prince of the world
Prince of the world
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prince Dube au FreemasonryWanafata order ya
Prince of the world
MabatabataNdio maana siku hizi nasikilizaga mabolingo/rhumba za zamani
siku hizi wasanii wanaimba matapishi
washenzi sanaMabatabata
Mwanangu aliuliza kuteleza ndo nini? Nkamjibu ni pruuu mpaka maka,Inama izame, paka mate itelekeze!
Watoto wanauliza Daddy iteleze nini unakosa cha kujibu!
Mara pap Rose mhando anaonekana anatafta Danga la kizungu mtandaoni hadi unawaza huyu kaona kusubili kubebwa na Mungu akaonje utamu wa Yesu ni shida hadi anataka kubebwa na danga kweli?
Mwanangu aliuliza kuteleza ndo nini? Nkamjibu ni pruuu mpaka maka,
Hakuelewa.
Nkamwabia snail ukimpiga c anatoa machozi sasa akilia anatoa utelezi,
nkaulizwa snail anatoa wapi mate?
Nkamjibu.. kwenye antena zake zile mbili.