Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?


Nisiogee chooni😳😳

Niogee wapi na hizi nyumba za kupanga??

#YNWA
 
Pia toa fungu la kumi na sadanyinginezo
Mungu yupo na ukimwita anaitika


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Sadaka natoa ila sio kumpelekea mchungaji ili anunulie ndege.
Wahitaji wapo mtaani hao ndio wanastahili sadaka ila sio kumpelekea mchungaji.

Mchungaji nae aje alime au afungue biashara kama sisi ila sio kukaa madhabahuni na kutuhibiria TOA NDUGU.

Kama mshahara wake haumtoshi basi afanye side hustle kama sisi waumini wake.

#YNWA
 
Sasa we jamaa January huijui? Ukileta mawazo ya waganga ukichanganya na Liverpool yako utapotea mazima, relax uone ni wapi Kuna shida, kama una wauzaji watatu, je, control ya fedha ikoje?? Kama ni mchanganyiko na pesa za simu angalia wasije wakawa wametengeneza syndicate wanachukuwa laki Moja kila siku wanahifadhi kwenye laini usiyoijua. Je unakontrol stock movements??
 
Dah[emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi. Hasa biashara ya pombe. Wateja kuhamia chimbo jipya ni kitu cha kawaida.
 
Usipotee mkuu,mwez January, February pesa ni ngumu sana.please,usipotee
 
MAELEZO YAKO SIJAONA branding techniques, Degree yako na masters yako rejea somo la marketing behaviour and seasonal uone wapi hapoko Sawa, TAFUTA wapinzani wako ujipime nawe walioko ndani ya eneo lako la KAZI. Unaweza sema biashara NGUMU kumbe msimu ndo mugumu. jua uwezo wako wa kupaniq ili ujue Nani akupitishe ulipofikia uwezo wako wa kufikiri.
 
Ndio anaweza sana.
mcheki TEMBO WANGU akupe chaka la Meatu
 
Dogo kuna husuda sana kwenye biashara hamna mtu anayependa kuona biashara yako watu wanajaa mi nakwambia ukweli tafuta kinga za biashara tudawa kurudisha wateja kwenye biashara za kiafrika mtu akuzidi kuna
1, mtaji mkubwa
2. Mvuto / dawa kali
 
Pia kama unatabia ya majigambo kwa wateja na watu wako wakarbu majirani ofisini ndugu wako acha hii tabia uua biashara kwa haraka kutambia watu unachopata siku zote ili uone faida onesha kwa wateja hupati faida yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…