Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Nilijenga ukweni nyumba ya kawaida ya rooms tatu na kuikarabati ile ya zamani.
Pia nilisaidia kusomesha wadogo zake mke wangu wote watano, wawili tokea wapo primary na watatu tokea wapo secondary, chuo kikuu wako wawili mmoja SUA na mmoja KCMC na hao watatu wako ufundi wote wapo VETA.
Kwanza wakwe zangu wananipenda hadi kero ukija kwa hawa mashemeji zangu wananiheshimu na kunithamini kama baba yao.
Mkuu tumebarikiwa afya na mali ili tuwe msaada na faraja kwa wahitaji.
 
Ni kweli umaskini ni shida aisee!

Mbaya zaidi huwa kunakuwa na uchawi pia,

Akionekana mwenye neema kidogo atapigwa vita huyo mpaka basi !

Watampiga kila mahala, kila mtu atapigwa lwake.

Umaskini ndani yake kuna matatizo mengine chungu nzima [emoji108]
 
Asante Chama ,kusema ukweli sina taharifa zake
 
Umasikini huanzia kichwani kwenye fikra
Si kweli kwamba wanaoishi maisha duni hawakuwahi kushika hela maishani mwao,wapo walioshika ila hawakujua wazizungusheje kujitoa hapo walipo zikaisha wakarudi square one
Ongezea, masikini akilini wakishika hela huwa wao ndiyo wao, majigambo, dharau, misifa kama yote[emoji38][emoji38] at the end ela zinaishia kuliwa na wajanja...

Baada ya apo huwa wanatia huruma sana huwezi amini kua ndiyo waleeee waliotesa wakati ule.
Masikini huenda ndio maana mungu ana fight ili waendelee kubaki tu masikini, na matajiri waendelee tu kua matajiri

Hujawahi kua na rafiki ako kapuku, uliyemsaidia, kumpenda na kumuweka karibu, akiwa na mipango tele ya hela na kukushirikisha na ukaona mwana si ndo huyu apa.

Mara paaah kapata tu ela akaanza ku change, ile mipango yote ikayeyuka, akaanza kubadilisha slay queens, kila hotel nyoya tano akataka alale, akaanza kukutenga ingawa hukumkosea lolote na kukusimanga pemebeni akikucheka[emoji38][emoji38][emoji38]??????????

Watu masikini wa fikra wengi wakizishika huwa much know na wabishi sana. Ukiwashauri watakuambia tusipangiane na maneno mengine mengi ya kuudhi.
 
Ahsante kaka Pasco
 
Dah ww jamaa kama unalaana vile
 
Usijali it's never too late to marry!. Kuna wanawake kwao ni masikini, lakini mki blend wanageuka baraka, wana kismati unafanikiwa mpaka unajishangaa!. Ila pia ni kweli kuna wanawake ni nuksi!.
Utawatambuaje... karibu pande hizi Be careful with the person you are sharing your body with! na hizi Agano la damu katika mahusiano ya kimapenzi
P
 
Umekosea sana
 
Nimekuja kujifunza na kugundua kuwa familia maskini na duni huendelea kuwa hivyo sababu ya uchawi na ushirikina.

Yani akiibuka mwenye Neema kidogo watampiga vita huyo watamroga kila mtu lwake!

Yaani naona wanajisemea moyoni kuwa “sisi tunaganga njaa yeye afurahie maisha kama nani?!

Umaskini ni laana!

I’m sorry to say that!

Laana maana yake ni kutokufanikiwa.

Unakuta mababu na mabibi waliua watu kwa uchawi au wazazi wewe mtoto na mjukuu lazima mta-suffer the consequences.

Mtalipa gharama ni swala la muda tu.
 
Hii iko wazi mkuu kuna watu wamekuwanasikini babu ya ushirikina kwenye jamii zao
 
Huo ndio ukweli
 
Ubarikiwe sana
 
Halafu ubaya wa dhambi ya uchawi ni kule kurithiwa kizazi hata kizazi .

Kwa familia ikishakuwa na uchawi itakuwa hivyo kizazi cha 1-7.

Ni dhambi mbaya sana.

Ndiyo dhambi ambayo Mungu ameruhusu mchawi auliwe asiachwe kuishi.

Mpaka Mungu anaandika itakuwa alikasirika sana !

Mchawi hasa akiwa mwanamke ni mtu mbaya sana hata akiwa mama yako mzazi au ndugu yako wa tumbo moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…