Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Kweli bro. Bora ulikiambia mzigo mapema
 
Nimejikuta tu nimecheka,
 
Mkuu mimi nilizaa na kwao walikua maskini, akawa na kazi lakini akadanganya ujira wake ili nione anapokea kidogo. Hakuwa na mchango wowote kwenye familia, sikumind coz ni majukumu yangu kutumiza. Siku moja akaomba wadogo zake waje, wakaja likizo kwangu.

Bro, alikuwa anawatoa out everyweekend na mwanangu na video za kutosha wakila piza na pochopocho.
Siku ya kuwapeleka stendi katoka na furushi ambalo sijawahi liona ndani, ila walitoka fastafasta hakutaka hata niwaage. Madogo ndo kwanza fomu 2 na 1. Atawasomesha mpaka wafike chuo, halafu mtu anakwambia tujenge tujenge. Leo una hata helanya kula umeshusha mzigo site bado mtu anakuangalia ww mpaka dagaa za mafuta za buku.

Nimemtema kila mtu apambane na hali yake.
 
Uliogopa tuu bure sababu na wewe ni maskini
Au wewe ni mchoyo sana..... hapo ukianza kuwaza pesa zako zitakavyokua zikiwasaidia wakwe moyo ukawaka moto😂😂
 
Hiyo Ni tabia tu ya kupenda kitonga na uoga wa majukumu ambao Ni janga la hiki kizazi.....yaani mwanaume kabisa unajinadi lazima nioe mtoto wa kishua ili iweje wajomba wakuendeshee familia kwa Mali za baba mkwe??Kitawakuta kitu Shauri zenu
 
Au cio mkuu vp ungekuwa wee ndo umetokea huko kweny umaskini just assume ungejisikiaje!!?
 
Uliogopa tuu bure sababu na wewe ni maskini
Au wewe ni mchoyo sana..... hapo ukianza kuwaza pesa zako zitakavyokua zikiwasaidia wakwe moyo ukawaka moto😂😂
Changamoto zilikuwa nyingi sana kwao
 
Hiyo Ni tabia tu ya kupenda kitonga na uoga wa majukumu ambao Ni janga la hiki kizazi.....yaani mwanaume kabisa unajinadi lazima nioe mtoto wa kishua ili iweje wajomba wakuendeshee familia kwa Mali za baba mkwe??Kitawakuta kitu Shauri zenu
Wala siko huko ila trust me mwanamke masikini sana huwezi kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…