Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Acheni umbulula. Mbona walifungwa na Saudia. Kwanini hamukuwaeleza Uholanzi wawafunge watoke. Mfungwr na Morrocco lawama apewe Messi. Mbuzi Kabisa nyie. Kuna wapuuzi juzi wamepewa penati ili wasawazishe wakapaisha. Ukute na wao wanalalamika humu. Mbwa nyie!
 
Hili kombe nmeacha kuangalia zamani tu, limejaa harufu ya rushwa. Hata sasahiv sifuatilii kabisa kinachoendelea huko.

Toka kupiga kura za muandaaji watu wa ndani kabisa wanasena kulitembezwa rushwa balaa na hao waarabu
Sema hupendi mpira,unaachaje kuangalia kombe la dunia
 
Mi naona Arabs family their desired result ni kumpa Morroco kombe baada ya Saudia kushindwa
Pamoja na magumu yote yale alopitia Morocco [emoji1173]

Binadamu watu wa ajabu sana

Anyway sasa tumuamini nani,wewe unasema Morocco anataka kutunukiwa ubingwa,wengine wanasema Argentina na Messi wanataka wabarikiwe huu ubingwa

Which is Which
 
[emoji38][emoji38][emoji38],hao kinachowaumiza na kuwasumbua ni chuki tu hamna kingine
 
Great Thinker [emoji106][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…