Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu,Kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe, na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye kwamba yupo.

Huyo Mungu, God, El shaddai, Elohim, Allah n.k Kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
 
Mimi binafsi na amini Mungu yupo na Mungu asingekuwepo pengine nisingekuwa hai
Mimi sijawahi kuamini uwepo wa Mungu na nipo hai.

Na watu wengi sana wameamini uwepo wa huyo Mungu lakini wameshakufa na hawapo hai tena.

Maelfu ya watu wanaamini uwepo wa huyo Mungu lakini bado wanakufa tu.

Na wataendelea kufa tu, Hata wewe lazima uje ufe.

Na kifo hakina mjadala. Either una amini au hauamini, lazima ukufeeee!!!
Nimewahi patwa na ugonjwa wa ajabu kuhema nashindwa na kila dawa iligoma kunisaidia ila kupitia Sala moja Mimi na mzee wangu Ile tunamaliza na amen nikawa nimepona mpaka Leo siwezi sahau ule muujiza maishani mwangu
Hii haimaanishi kwamba ndio hutakufa.

Kufa lazima ufe hata kama unasali na utasali sana usife.

You must die.
 
Allah anamuhadithia mtume Muhammad habari za nabii Musa
Quran 20:9
KWA hiyo Allah ni baba yake mtume Mohammed.

Allah sio baba yangu wala mtume sio baba yangu.

Wanaowaabudu hao, wanawaabudu baba wa kambo
 
Kwani wapi nimesema wanaomwamini Mungu Hawafi?
 
Hehe.. Baba yako mwenyewe alisanuka.. ona anaitwa Yohana (John) mbatizaji
 
Uongo upi kwa mfanosasa
Uongo wa Mungu ambaye badala asikitike na kujilaumu yeye mwenyewe kwa uzembe wake kuumba dunia yenye uovu na binadamu waovu,

Anakuja kulaumu binadamu viumbe wake aliowaumba mwenyewe kwa uzembe wake na akijua kabisa watakuja kuwa waovu, Lakini akawaacha wawe waovu ila aje kuwapa adhabu siku ya mwisho.

Hii inadhihirisha kwamba Mungu huyo hajitambui kabisa na hajielewi kabisa.

Na Mungu huyo wa Biblia ni UONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…