Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu,Kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe, na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye kwamba yupo.Mungu muumba mbingu na aridhi hajawahi kujiita Jehova Kwa sababu Jehova ni Neno la Kigiriki na Mungu hajawahi kujifunua kwa Wagiriki
Mungu alijufunua Kwa waisrael Kwa lugha ya kiebrania na alijufunua Kwa majina haya
Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
JE! Mungu aliyejifunua Kwa Musa ndio Allah?
Jibu ni ndio
Kutoka 3:3
Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.
Kutoka 3:4
BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
Kutoka 3:5
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
Allah anamuhadithia mtume Muhammad habari za nabii Musa
Quran 20:9
- Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
Quran 20:10
- Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
Quran 20:11
- Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
20:12
- Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
Huyo Mungu, God, El shaddai, Elohim, Allah n.k Kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.