Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata wanaume wawajibikaji,wanaojali wapo wachache sana.MUNGU akubariki na abariki wanawake wote wenye subira , imani , heshima na uvumilivu kwa wanaume . Wanaojua changamoto na magum wanayopitia wanaume ili familia ziishi vizuri. Mna nafasi yenu ya pekee maana kwa dunia ya sasa mpo wachache sana[emoji173]
Amen, Mungu atubariki sote.
Furaha yetu ni kuona mnafanikiwa.
Pia nimejifunza,hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mkarimu.
Sent using Jamii Forums mobile app