Hata wanaume wawajibikaji,wanaojali wapo wachache sana.
Amen, Mungu atubariki sote.

Furaha yetu ni kuona mnafanikiwa.


Pia nimejifunza,hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mkarimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani tumeletwa tutaabike furahia enjoy haina haja ya kukasirika omba dua na kushukru ili uzishike be humble
 
Kuna jamaa yangu mmoja mpiga debe anaishi na mke pamoja na watoto wao watatu..Kipindi mradi wa SGR unaanza aliomba kazi bahati nzuri akapata..Maisha yakaboreka yeye na familia yake.Juzi nakutana nae anadai mabosi wake wamemfukuza kazi anadai mkewe anaona atanyang'anywa mme kisa maisha yamemnyookea,akawa anamfuata kazini anafanya vurugu ili mradi amwalibie tu....Kuna wanawake wengine ni vichaa[emoji144]
 
[emoji849]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 

It not easy kuwa baba
 
Kwakweli huyo mwanamke ni kichaa aise

Anahitaji mtu amfunde abadili mindset yake!

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Mungu aliweka roho ya huruma na upambanaji kwetu sisi wanaume mungu ndo mlinzi wa vita vyetu tunavyokutana navyo kwenye kutafuta ridhik
 
Siku ukiolewa utadumu kwenye ndoa muda mrefu sana maana umetambua mambo ambayo wenzako hawajatambua, unakuta umetoka kuhangaikia familia unarudi unakutana na kelele za kufokewa bila adabu tena mbele za watu.
Nilishajiwekea sheria Toka kitambo ,mwanamke ambaye atakuwa kikwazo Cha furaha yangu huyo hanifai kabisa hela zinichanganyanye na mtu anichanganye kwangu huyo ni red card najal afya yangu ya akili
 
Hakuna awezaye kuzivaaa nafas zetu zikamfit
 
Mtu aliwahi kuona post yenye likes nyingi kuliko post namba moja kwenye hii thread atuonyeshe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…