Mna uvumilivu sana na tunajua basi tu
 
Huna deni na sisi dada,tunachapika mno ila ndo ivo maumivu yetu ni kama machozi ya samaki ,yanakwenda na maji.Tunadhalilishwa,tukanwa huko katika kusaka riziki ila mwisho ni kuchukuliwa poa.
DEde mwanama
 
Siku ukiolewa utadumu kwenye ndoa muda mrefu sana maana umetambua mambo ambayo wenzako hawajatambua, unakuta umetoka kuhangaikia familia unarudi unakutana na kelele za kufokewa bila adabu tena mbele za watu,
Wa hivi huwa hawadumu ndugu.
Kati ya maajabu ya wanaume ni kutopenda wanawake baridi. Wanahisi ni dhaifu na wanaweza kufanywa chochote.
Mara nying huwa wanaambulia kutoachika ila wanapachikwa nyumba ndogo pemben
 
Hujaacha Namba!tukurushie hata ya soda tu!

Wanaume tuna lalamikiwa KWA michepuko au mahawara kwasababu hamjui msoto wa kifkira tuliyonayo!

Kisaikolojia ni kwamba the more you hustle the more addicted to leisure s you become!

Ndio maana wa migodini wanatumia hovyo Sana pesa zao has a wachimbaji wa kule deep Ili kutibu maumivu ya kimwili na kisaikolojia the same KWA WENGINE wengi tunao hustle kuzisaka!!!

SIKU wanawake mkijitambua mtatusaidia kututaftia liwazo la kihisia hata nje ya mahusiano!kama NYUMBA ntobuh za kikurya zamani!


Mawazo huru hayo !I stand to be corrected!
 
Kuna documentary moja ipo youtube mwanamke mmoja feminist kwa majina Norah Vicent alifanya social experiment ya kuishi kama mwanaume kwa muda fulani.

Treatment aliyoipata baada ya hapo tena kutoka kwa wanawake aliamua kujiuwa mwenyewe .

Unaweza kumfuatilia zaidi ili kujifunza mengi aliyoyaona .

All in all si rahisi kuwa mwanaume ndiyo maana tukapewa vifua ili kukabiliana na mambo mazito.
 

Attachments

  • Screenshot_20230125-093048.png
    132.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230125-093031.png
    115.6 KB · Views: 11
Hauna baya mwanamke shujaa
 
Huu ni uzi bora wa mwezi.
 
Asante kwa kutukumbuka. mara nyingi tunakumbukwa tukishaondoka duniani, mambo yakianza kuwaendelea vibaya wale waimba "nani kama mama"....ndipo huanza kuwa na akili ya kumkumbuka baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…