Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna uvumilivu sana na tunajua basi tuMateso ndio uanaume wenyewe huo.
Ukakamavu, subira, maamuzi, mapambano, na hekima.
Mke akizingua hatuna muda wa kumpondea Kwa Watoto au ndani ya jamii.
Wanaume ni ngumu kumpondea MKE au Mama zetu hata kama tunajua amekosea.
Mara nyingi tunatumia neno jumuishi Wanawake kuwaponda wote.
Ila ni ngumu kuwa specific kuwa MKE au Mama yangu ni mshenzi.
Ila Wanawake wanatumia maneno jumuishi na Mahususi kutuponda Wanaume na waume au Baba zao.
DEde mwanamaHuna deni na sisi dada,tunachapika mno ila ndo ivo maumivu yetu ni kama machozi ya samaki ,yanakwenda na maji.Tunadhalilishwa,tukanwa huko katika kusaka riziki ila mwisho ni kuchukuliwa poa.
Wa hivi huwa hawadumu ndugu.Siku ukiolewa utadumu kwenye ndoa muda mrefu sana maana umetambua mambo ambayo wenzako hawajatambua, unakuta umetoka kuhangaikia familia unarudi unakutana na kelele za kufokewa bila adabu tena mbele za watu,
Mna uvumilivu sana na tunajua basi tu
Hauna baya mwanamke shujaaNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya[emoji3] pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Huu ni uzi bora wa mwezi.Natumaini mko poa,

Ha ha ha .....Msalimie mama J[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unahitaji tuzo kwa kupambana na mama J.Ha ha ha .....
Ktk wanawake pasua kichwa,
Huyu nadhan Ni namba wani duniani
Asante kwa kutukumbuka. mara nyingi tunakumbukwa tukishaondoka duniani, mambo yakianza kuwaendelea vibaya wale waimba "nani kama mama"....ndipo huanza kuwa na akili ya kumkumbuka babaNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Achana na samu atume pesa ya kula😅😂😂Nasubiri wa nondo ajitokeze kazi ianze😂