Asante kwa kutukumbuka. mara nyingi tunakumbuka tukishaondoka duniani, mambo yakianza kuwaendelea vibaya wale waimba "nani kama mama"....ndipo huanza kuwa na akili ya kumkumbuka baba
😂😂😂
 
Kabisa nakubaliana na wew
 
Mleta uzi umesema kweli tupu! BARIKIWA SANA,. Ila waambie wanaume waache michepuko! Licha ya kuwa kuchepuka ni dhambi ila pia huathiri uchumi wa familia.


JESUS IS LORD
 
Well said👏👏

Wanaume wachakarikaji na wanaojali familia zao wana nafasi yao spesho mbinguni
 
Asante kwa hilo wachache wenye fikra hizo vip una ndoa unafaa kuwa wife wewe
 
Nakuombea mume mwenye kheri na wewe
Kwa kweli wanaume ni nguzo ya familia
Tunavumilia mengi sana ila mengi yanarekebishika kwa subra ya hali ya juu

Mwanamke aliefunzwa maadili na dini pia hawezi kuchezea familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…