Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa nakubaliana na wewUmesema kweli,, kitu wanaume wako nacho ni upendo halisi mtu anajitoa kwa ajili ya wengine, wako tayari kutoa chote alichonacho kwa ajili ya mke na watoto, wakati mwingine hata wazazi wao huwasahau na hapo ndo ile maana ya mke kuwa msaidizi inapokuwa na nguvu,
Japokuwa wapo wale wanaume mangubaru wanaotumia mamlaka yao ya kiume vibaya
Nondo natoa mimi kazi iendelee😂😂Nasubiri wa nondo ajitokeze kazi ianze😂
TayariMpe muongozo kwanza 😂😂😂
wewe sema tu hata kama ni ikulu chamwino, wahuni watajenga😀😀Ngoja nifanye research😂😂
Well said👏👏Natumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Asante kwa hilo wachache wenye fikra hizo vip una ndoa unafaa kuwa wife weweNatumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yankuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafnya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna waksti hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahid kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivo unavoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya[emoji3] pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
HakikaKwakweli😂😂wanatusimanga sijui ndo hasira zao wanatumalizia sisi lakini tuwavumilie
Ipi tenaUna KESI ya kujibu... hope uko poa. Huyu binti kaongea ukweli mchungu sana
Tena tunawapendaga sanaWell said👏👏
Wanaume wachakarikaji na wanaojali familia zao wana nafasi yao spesho mbinguni
Hivi ntampata lini wife kama huyuNakuombea mume mwenye kheri na wewe
Kwa kweli wanaume ni nguzo ya familia
Tunavumilia mengi sana ila mengi yanarekebishika kwa subra ya hali ya juu
Mwanamke aliefunzwa maadili na dini pia hawezi kuchezea familia yake