Nilichojifunza kuhusu wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23] hizo dharau sasa, ila tufanye umeshinda maana ushatupongeza[emoji3][emoji3]. Pia shukrani kwa kutambua uepo wetu[emoji109][emoji109]
Wew uje uchukue notes😂😂😂
 
Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika

Ukizariwa mwanaume leo ujue kila kitu kwako kitakuwa ni tabu
Wazazi wako wakizeeka macho yao ni kwako
Familia yako NYUMBANI macho yao ni kwako

Ndio mana nilipopatwa na AJALII nilijua FAMILIA yangu itaathirika

Baaba wa FAMILIA ndio NGUZO ya NYUMBA
Leo nimeteteleka NYUMBA inayumba
Ninateseeka na MARADHII naumia MOSHI na mawazo
sijui WATOTO wangu watasoma viipi

Sikiliza hapo kilio Cha mwanaume akiililia FAMILIA yake
MSONDO NGOMA music Band
Sikiliza JUMBE HUSSEIN anavyolalamika
sauti ya RADI /ZEGE gurumo akitia nasaha

TX moshi william alitunga huu wimbo alipopatwa AJARI akavunjika MGUU sasa ule msoto wa kukaaa nyumbani kuuguza mguu akaja na kibao hichi maridhawa
Kuna wakati TX MOSHI ilimlazimu kwenda UKUMBINI na HOGO na magongo ya kutembelea kuimba ili kuiletea RIDHIKI familia yake isiadhilike 7bu yeye ndo alikuwa baba wa familia
Yaani yalioimbwa humo ndio yalikuwa yakimtokea dhaili TX mwenyewe mpka akaja na KIBAO hicho ambapo ndio ulikuwa utungaji wake wa mwisho kabla hajafikwa na MAUTI mguu ulimsumbua haukupona mpk akafikwa na MAUTI

Threads yako imenikumbusha mbali sana mpk nikaukumbuka huu wimbo

Uzuri wa hii nyimbo Hussein Kumbe pia alishapitia magumu na kuumwa sana mpaka kuzushiwa kifo ndio akaja na ila nyimbo nachechemea, Sasa kwakuwa hii nyimbo ya ajari ya Tx Moshi Kumbe alishapitia hayo aliimba kwa hisia kali sana.

Huu ni moja wa wimbo bora kabisa wa Msondo ngoma tangu kuanzishwa kwake.
 
Natumaini mko poa,

Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.

Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.

Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.

Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna wakati hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.

Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.

Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.

Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.

Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Weka number yako ya simu hapa tukutumie hata ya Grand Malt 😊
 
Wanaume tunapambana sana Mungu atubariki ila kwa wanawake ambao hawajui thamani yetu na tunaishi nao kwenye Maisha tuzidi kuwapambania tu ipo siku umuhimu watauona hata kama sio sasa
 
Natumaini mko poa,

Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.

Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.

Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.

Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna wakati hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.

Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.

Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.

Na sisi wa jumuiya[emoji3] pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.

Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
I'm in love with you babee [emoji257]
 
Back
Top Bottom