Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Acha utoto, tungekua na akili hizi unadhani hata Afrika kusini wangepata uhuru? Mandela alianzisha ugaidi akawa analipua maofisi ya serikali na akafungwa kifungo cha maisha ila bado alitoka jela na kuwa Rais!!

Serikali nazo ni binadamu zina madhaifu mengi tu tofauti ni kuwa wana silaha na raia hatuna.
Kwahiyo umekubaliana Mimi kuwa Mungu Hana cha kukusaidia kwenye mambo ya dunia?
 
Kwahiyo umekubaliana Mimi kuwa Mungu Hana cha kukusaidia kwenye mambo ya dunia?
Wapi nimeongelea mambo ya Mungu? Wewe unasema huwezi pambana na serikali ukashinda. Nimekupa mfano hai kuwa Mandela alikua gaidi na akaishinda serikali na wapo wengi tu walikua wakaidi. Mfano Ruto alikua anaipinga wazi wazi serikali ya kenyatta na bado amekua Rais.

So punguza ujuaji, Lissu atatoka tu na 2030 ataingia ikulu.
 
Kwani hapa mimi naongelea siasa?
 
Mda mwingine yawezekana Kiranga Scars Infropreneur wapo sahihi, haiwezekani mauaji kama yale ya Gaza, Tigray, Nigeria, Dar es salaam na Iran yakafanyika na Mungu akawa kimya.
Tukisema humu, watu wanatuona kama wehu tulio changanyikiwa ila deep down mtu akikaa, kupima na kumtafakari huyo Mungu, anaona kabisa Mungu huyo hana msaada wowote kwake!
 
Ni sawa na kuumwa muda mrefu mpaka kukata tamaa na kusema namuachia Mungu, kwa sababu hakuna mbadala wa kupona. Ndio hivyo hivyo ata mambo mengine ya kimamlaka, kwa sababu unakuwa huna uwezo wa kubadilisha chochote, inabidi kukata tamaa na kusema mamlaka yote yametoka mbinguni.
 
Back
Top Bottom