100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Haya mambo kila mmoja anaamini kivyake..
Hatuwezi kuamini kikundi cha wahuni unasema ni mamlaka.
Hatuwezi kuamini kikundi cha wahuni unasema ni mamlaka.
Sasa kama Mungu mwenyewe haukusaidii utaganyajeNi sawa na kuumwa muda mrefu mpaka kukata tamaa na kusema namuachia Mungu, kwa sababu hakuna mbadala wa kupona. Ndio hivyo hivyo ata mambo mengine ya kimamlaka, kwa sababu unakuwa huna uwezo wa kubadilisha chochote, inabidi kukata tamaa na kusema mamlaka yote yametoka mbinguni.
Unashindana na mtu aliyeshika mpini na we umeshika makali?Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.
Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako
Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Mungu ni kitu cha kutungwa ili asingiziwe tu tumtwike maswali yote tusiyo na majibu yake au tusiyotaka kuyajibu.Mda mwingine yawezekana Kiranga Scars Infropreneur wapo sahihi, haiwezekani mauaji kama yale ya Gaza, Tigray, Nigeria, Dar es salaam na Iran yakafanyika na Mungu akawa kimya.
Umejifunza upumbavu, na wewe ukahitimu kuwa mpumbavu.Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.
Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako
Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Maandishi siyo mengi, kwa hiyo nimeshawishika nitazame hiyo mistari michache; na nikaona nijibu kwa staha kuliko mwanzo.Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Nimecheka kwa sauti.Huenda kina Mwenyezi Mungu, allah, yawheh, jehova nisi & jehova sharma wanaogopa serikali & wanaogopa kutekwa.
Wewe mkristo au muislam au mpagani?Mamlaka zote sinatoka Mbinguni sasa usipoziheshimu ustegemee Msaada wowote, utalaumu watu bure tu
Well, Ndugu unieleze ni kwanini hiyo mifano yako imeendelea kuwa masimulizi Tu zaidi ya miaka 2000 sasa, lakini kwa nyakati zetu haujawahi shuhudia tukioo hata moja la Mwenyezi Mungu ku intervene? Yaani matendo ya Mungu ni ya kuhadithiwa TuWewe mkristo au muislam au mpagani?
.Musa, Aron (Harun/Haruna) na watu wao hawakutii mamlaka ya Farao(Firauni/Pharaoh) mbona aliwalinda hakuwatelekeza Kama Watanganyika?
Daniel, Shadrach, Meshach, na Abednego mbona hawakutii mamlaka ya Nebuchadnezzar wa Babylon lakini Mungu aliwalinda?
Mamlaka za Pharaohwa Egypt na Nebuchadnezzar wa Babylon hazikutoka mbinguni kwa Mungu?
Kwanini basi wanaserma mamlaka zote zinatoka kwa Mungu?
Dini maandiko yao yana utata au niite confusion na contradiction nyingi sana.
NB: Bado naamini Mungu yupo.
Haifai kuogopa imani za watu hapa JF, hapa tuna uhuru kama Marekani, wewe wapusue tu watu, wachane, wape ukweli, asikutishe mtu😁Hizi mada zinazo gusa mambo ya imani za watu ebu ngoja nipite taratibu... nisije nikajikwaa nikawanga pombe yangu hapa....🍺
Umesema kweli hizi dini zinatupanga Tu lakini Hazina Msaada wowote kwenye maishanya Mwanadamu hapa duniani, watu wanazidi kuuumia wakidhani Mungu atawasaidia, wataisha sasaFidel Castro wlipingana na serikali akafungwa, akatoka akashika silaha akaishinda akawa raisi.
Hizi kauli za kuwatisha au kuwatia ujinga watu ili muendelee kuwakandamiza na kuwatawala watu kikatili. Dini zinatumika kupumbaza watu wajinga na waoga.
Basi hizo setting zimekaa vibaya inabidi zifanyiwe Factory Reset upyaM/Mungu ameshauset ulimwengu na unajiendesha kwa setting zake alizoset, kama wewe unavyoset simu yako, mlio gani? Uite nan? Akupigie nan? Asikupigie, alarm ikushtue saa ngap? Bado haujanielewa
Ni hivi M/Mungu anatuangalia tu now ameeka sheria zake na ameeka mambo ambayo tuyafate tutafanikiwa nayo na ambayo tuyaache, na mengine kaacha atayahukumu huko baadae
Tena, kaeka kuna njia ukizifata utapata utajiri, na zipo ukizifata utausikia tu
Kaset kuna vitu vikikutokea kifo kitakukuta
Kaeka kuna namna mvua itanyesha ameset hivyo
Yaani ameset vitu na yanavyoenda mabaya kwa mazuri alaf ametuachia dunia yetu tujihukumu na tujiumize wenyewe then tutaenda kukutana naye huko ili atucheke tulishindwaje kuishi kwa mafanikio kwenye hii dunia yake rahisi hivi kuishi unavyotaka kupitia setting zake
Na Mungu Hana Msaada na wewe unapoanza kulumbana na mifumo ya Dunia, Hana muda na mambo hayoTrue system is very brutal no mercy.
Kupambana nayo ni hatari sana .
Mungu ametupa akili we have to use it ,Na Mungu Hana Msaada na wewe unapoanza kulumbana na mifumo ya Dunia, Hana muda na mambo hayo