Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Mtu anasahau hata utawala wa al Bashir wa Syria ulipinduliwa,je waasi waliopo madarakani wangefata kauli yako ya kifukara wangetoboa??Acha utoto, tungekua na akili hizi unadhani hata Afrika kusini wangepata uhuru? Mandela alianzisha ugaidi akawa analipua maofisi ya serikali na akafungwa kifungo cha maisha ila bado alitoka jela na kuwa Rais!!
Serikali nazo ni binadamu zina madhaifu mengi tu tofauti ni kuwa wana silaha na raia hatuna.